Vodacom wamekuwa ombaomba mkuuHizi sms za kushinda 2,000,000 au 5,000,000 zinazotumwa mara kwa mara kutoka mtandao wa vodacom mimi zimenichosha naomba wahusika wasitishe kwani zinaniletea usumbufu sana. Kwa siku wanatuma zaidi ya mara 5. Mimi sijawahi kuomba kuunganishwa kwenye hiyo namba ili kuingia kwenye mashindano yao. Hii tabia ikiendelea nitaishitaki kampuni kwa kunisababishia usumbufu wa kisaikolojia. Mimi sina hela lakini sitaki mashindano ya kulazimishwa eti mara "mwenye namba 075******* utajipatia 200000000 au Sio ya kukosa: 075******hii ni kamata mpunga ya vodacom. Tuma neno GO kwenda namba 15544 na unaweza kushinda 5,000,000 Kila watuma nafuta lakini baada ya muda kidogo wanatuma tena. Mtatusababishia ajali jamani
Hizi sms za kushinda 2,000,000 au 5,000,000 zinazotumwa mara kwa mara kutoka mtandao wa vodacom mimi zimenichosha naomba wahusika wasitishe kwani zinaniletea usumbufu sana. Kwa siku wanatuma zaidi ya mara 5. Mimi sijawahi kuomba kuunganishwa kwenye hiyo namba ili kuingia kwenye mashindano yao. Hii tabia ikiendelea nitaishitaki kampuni kwa kunisababishia usumbufu wa kisaikolojia. Mimi sina hela lakini sitaki mashindano ya kulazimishwa eti mara "mwenye namba 075******* utajipatia 200000000 au Sio ya kukosa: 075******hii ni kamata mpunga ya vodacom. Tuma neno GO kwenda namba 15544 na unaweza kushinda 5,000,000 Kila watuma nafuta lakini baada ya muda kidogo wanatuma tena. Mtatusababishia ajali jamani
ukithubutu kujiunga na hiyo kitu mjomba. Wananyonya ka ela chako chote kwa kukutumia vimeseji vya maswali ya ajabu ajabu.Mimi huwa najisikia raha sana wanaponitumia, maana najua wanataka kunitapeli ila situmi Meseji bali nikiwa kwenye bia najifanya nipo bize na simu kumbe ni Meseji za kuomba hela kutoka vodacom
mie nimeamua kutupa laini yao..kila kukicha wanawaza kuwakamua tu wateja wao hawana huruma hawa...Nashauri wastop mara moja kutuma tuma hovyo hayo ma sms yaoHizi sms za kushinda 2,000,000 au 5,000,000 zinazotumwa mara kwa mara kutoka mtandao wa vodacom mimi zimenichosha naomba wahusika wasitishe kwani zinaniletea usumbufu sana. Kwa siku wanatuma zaidi ya mara 5. Mimi sijawahi kuomba kuunganishwa kwenye hiyo namba ili kuingia kwenye mashindano yao.
Hii tabia ikiendelea nitaishitaki kampuni kwa kunisababishia usumbufu wa kisaikolojia. Mimi sina hela lakini sitaki mashindano ya kulazimishwa eti mara "mwenye namba 075******* utajipatia 200000000 au Sio ya kukosa: 075******hii ni kamata mpunga ya vodacom. Tuma neno GO kwenda namba 15544 na unaweza kushinda 5,000,000 Kila watuma nafuta lakini baada ya muda kidogo wanatuma tena.
Mtatusababishia ajali jamani
Wife anafanya kazi ya mpesa wakala namba 66062 leo kuna mteja kaja kutoa pesa kabla ya kutoa pesa alikuwa na akiba ya sh 10,020 mteja akatoa sh laki tatu na msg ikaja kwa jina la james baraka ref namba CB610A767 jumla ya balance 310,020 mteja akapewa hela alipokuja mteja mwingine ile laki tatu imeyeyuka imebaki 10,020 tumepiga customer care tunaambiwa hakuna muamala wa laki tatu jwa leo ilhali msg tunayo kwenye simu swali kama hakuna transaction iliyofanyika imekuwaje msg ikaja kwa wakala yenye kiasi sawa na kilichotolewa ikiwa na jumla ya kiasi kilichokuwepo kama ni wizi mwizi huyu alijuaje kwa wakala husika ana balance ya sh kadhaa naomba majibu ili wakati tunaenda kutafuta haki mbele tuwe tunachakuwambiaNdugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Vodacom ghalama zenu ziko juu mno, na internet yenu sehemu kubwa ya nchi ni 2g! Amkeni mkiendelea kulala na kuridhika HALOTEL anakuja kuwafunika kabisa. Nimeweza kusafiri Dar hadi Dodoma, Dar hadi Mbeya na Dar hadi Songea, Ni sehemu chache sana ambako Vodacom inashika 3g, sehemu kubwa ni 2g na sehemu nyingi haishiki tofauti na Halotel anhalten ni full 3G H+ na internet yao ina speed kama 4G yenu
Vodacom ghalama zenu ziko juu mno, na internet yenu sehemu kubwa ya nchi ni 2g! Amkeni mkiendelea kulala na kuridhika HALOTEL anakuja kuwafunika kabisa. Nimeweza kusafiri Dar hadi Dodoma, Dar hadi Mbeya na Dar hadi Songea, Ni sehemu chache sana ambako Vodacom inashika 3g, sehemu kubwa ni 2g na sehemu nyingi haishiki tofauti na Halotel anhalten ni full 3G H+ na internet yao ina speed kama 4G yenu