masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,859
- 15,055
Kuna mtoa mada anasema Voda wameamka sasa, haelezi nani kawaamsha .Nieona hii katika ukurasa wa habari mchanganyiko.
Hakuna kitu kama hicho!!!
Ile hela ambayo naamini wameichota toka talk time account yangu(elfu ishirini) wala haijarudishwa hadi leo hii , licha ya bla bla nyingi zisizo na msingi toka kwa staff wao.
Tatizo lao wanafikiri wote ni ma-laymen wa mitandao, hivyo kuibiwa at will.
Hapo unawekewa offer kama za hapo juu ambazo ni kama mwanga kwa kumbi kumbi ili muwe wengi wawachote kwa urahisi!
Habari chameleon,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi ndugu mteja,pole.Jana 28 Jan 2014 saa 6:43 mchana nilweka vocha ya sh 500 ktk line yangu ya Voda kwa lengo la kujiunga na Kifurushi chao kipya cha CHEKA BOMBASTIC
Dakika tano baadae nilipotaka kujiunga nilijibiwa kwa sms kuwa salio langu halitoshi
Nilipouliza salo nilijibiwa salio ni Tsh. 477.91
Saa 7:15 nilipiga simu. Kuongea na mhudumu akanijibu ni kweli na kwamba sidaiwi chochote na kwamba baada ya saa tatu marekebisho yatafanyika
Hadi leo saa 7:15 mchana sijatumia line hiyo naangalia salio ni Tsh 439.57
Hii ndiyo staili mpya ya kuibia wateja. Kama si wizi ni nini?
hamia airtel
uko ndo kwenye hatari, labda usitumie cha bure "airtel money" machozi yatakutoka utakapojimix. customer care awapokei cmu. mwenzio nimekomahamia airtel
Habari chameleon,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi ndugu mteja,pole.
Kama wewe ni mtumiaji wa laini ya TIGO jaribu kufanya utafiti huu;
Weka vocha angalau ya Tsh 500 then rekodi salio lako, hakikisha hupigi wala kutuma msg n aukifanya hivyo hakikisha unarekodi salio lako. Asubuhi ukiamka angalia salio lako kama ni lile lile uliloacha kabla.
Ukipata jibu rudi utujuze.
Ofa Maalumu kwa ajili yako!Ongeza salio la Tsh18000 hadi Jumamosi01/02/2014 na upate Tsh20000 kwa siku 2. Kwa maelezo zaidi ya Ofa Maalumu piga*149*01#
Habari chameleon,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi ndugu mteja,pole.
Asante kwa majibu yenuHabari chameleon,tafadhali tutumie namba ya simu PM kwa msaada zaidi ndugu mteja,pole.