permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,483
- 15,293
Tatizo sio mitandao,nadhani TCRA wanahusika kwa kiasi flani kwenye maswala ya udhibiti
Mkuu TCRA ni tatizo sana , sheria inayoiongoza TCRA inasema wazi kuwa hiyo taasisi itahusika kucontrol bei za mawasiliano ila cha kushangaza ati imeziachia makampuni ya simu yawe yanapanga bei. Lakini sishangai kwani mawaziri wa wizara akina makamba ndio walikuwa wanatumia makampuni hayo ya simu kuwatumia watu mameseji ya kisiasa!