Vodacom Premier League (VPL) Ruvu Shooting vs Simba SC Uwanja wa Uhuru, show ya hatari

40' Goooooooooooooooooooaaal gooooooooooooaal

Miraji Athumani anaipatia Simba SC bao la kwanza kwa kichwa akipokea krosi safi upande wa kulia.

Ruvu Shooting 0-1 Simba SC
Huyu jamaa ana bidii sana uwanjani, anastahili pongezi sana
 
Ukweli usemwe tu........Simba imekuwa timu ya kawaida sana ukiangalia hii mechi hauoni utofauti wowote wa Simba yenye Professional players na Ruvu yenye wachezaji ambao ni loser.
 
Ukweli usemwe tu........Simba imekuwa timu ya kawaida sana ukiangalia hii mechi hauoni utofauti wowote wa Simba yenye Professional players na Ruvu yenye wachezaji ambao ni loser.
Taratibu taratibu tutayasikia mengi Mtani. Teh teh
 
Back
Top Bottom