Vodacom nuksi sana

Vodacom nuksi sana

Mi kusema kweli voda washanikosa tangu mwaka jana walipoweka vifurushi vya mgao ka pombe za sangamela sijaweka salio mpaka leo ingawa nilikuwa mteja mtiifu wa kuweka sh 1000 kila siku ya Mungu.
Kwa hiyo mpaka leo wameshakosa hela yangu kama zaidi ya sh laki na samanii hivi, je ni wateja wangapi tulikimbia kipindi kile!
 
voda nuksi kweli...
kesho sijui mtaniibia bei gani
 
hata utumie dim ya tochi lakini utaliwa tu...
 
naunga mkono na mguu hii mada,nilikuwa nakatwa hadi nahisi kuchanganyikiwa,nilipowauliza wakaniambia kuna namba ya tigo huwa naipigia,nikajua ni waongo tu,kwa sababu mimi huwa nawapigia watu wa voda kwa voda na wa tigo kwa tigo,nina handset mbili,nikawabana wanipe hiyo namba ya tigo ninayoipigiaga,mwisho wa siku wanakuja kunitajia namba yangu ya tigo,walivyoona nimewakamata hapo,wakasema niko karibu na mnara wa nje ya nchi kitu ambacho hakiniingii akilini,nikawaambia nyie ni wezi tu,nachofanya sasa ivi naweka ela mpesa,nanunua salio kutoka mpesa kiasi nachokitumia na kuisha saa hiyohiyo,wakitaka kuiba wanakuta 0.00,wanaweza kukugombanisha hata na watu unaoishi nao,maana unalala na muda wa maongezi,ukiamka hamna kitu
 
True...
 
[QU OTE=idawa;9703409]Walishawai kuniibia 4000, lakini bado niko nao sababu Internet hapa nilipo wao ndio wanafunika.[/QUOTE]
Kweli huduma za net.. Ni nzuri Kwa Hawa jamaa.. Na hapo ndio wanna take advantage.
 
m-pawa ya voda vipi? - saccos unakopa mara 3 hivi ya hela ulizo save nao lakini m-pawa unakopa 30% ya hela zako unazo save na kulipia riba ya mkopo!!! cheza na vodacom!!

Wakatili sana
 
ni kwel hawa voda washaona kama wao ndo wana mtandao pekeyao ndo wanafanya wanavyotaka, wala icwe shida hapa air tell 2
 
voda wezi kiamaaaaaa leo walivyonila hela ile yaani ikabidi ningie deni dukani la 5000 ...voda nuksi
 
Mitandao ya simu imekuwa ya kilaghai sana, na hawa TCRA wanakula 10% za bure tu
 
dah pole mm ndyo maumivu hayo sana tu yaani nmwkuwa shamba la bibi kwa voda

da ahsante...halafu hizo hela bora wangekua wanazipata wale staff wao wanaopokea simu..wanafaidika ma top tu...katika pirika zangu za kimaisha nilishawahi kufanya kazi pale call center yao...da ni kama utumwa!
 
Kaje visiku vya nyokwe. Sisi tunaumia wewe unaleta sera mbovu za ccm hapa ? au kwasababu Voda ni ya watu wa ccm

...hongea zumbe kwa kumkonta uyu dashi!..kuna wakati tgo nao walikuwa na hizi sana za kuchikichia ngawira za wateja. naona voda nao wameona wenzao wanafaidi saana na wameamu kuiga.,.!
 
Voda kwangu wamewekeza hivi: Najiunga kifurushi cha sh 649 mara ya kwanza kimyaa, hawarudishi message wala hawakati salio. Napiga tena kujaribu kujiunga mara ya pili, napo kimyaa na salio hawakati kabisaaa. Nasema ngoja nijaribu mara ya mwisho, napiga namba ya kujiunga mara ya tatu napo kimya kidogo kinapita. Baada ya dakika takribani tano zinaingia message wameniunganisha mara zote tatu na wamekula pesa zote 649x3! Yaani hadi najiunga tigo peke yake sasa

Mkuu hili ukiwasiliana na Vodacom unarudishiwa salio lako.
 
naunga mkono na mguu hii mada,nilikuwa nakatwa hadi nahisi kuchanganyikiwa,nilipowauliza wakaniambia kuna namba ya tigo huwa naipigia,nikajua ni waongo tu,kwa sababu mimi huwa nawapigia watu wa voda kwa voda na wa tigo kwa tigo,nina handset mbili,nikawabana wanipe hiyo namba ya tigo ninayoipigiaga,mwisho wa siku wanakuja kunitajia namba yangu ya tigo,walivyoona nimewakamata hapo,wakasema niko karibu na mnara wa nje ya nchi kitu ambacho hakiniingii akilini,nikawaambia nyie ni wezi tu,nachofanya sasa ivi naweka ela mpesa,nanunua salio kutoka mpesa kiasi nachokitumia na kuisha saa hiyohiyo,wakitaka kuiba wanakuta 0.00,wanaweza kukugombanisha hata na watu unaoishi nao,maana unalala na muda wa maongezi,ukiamka hamna kitu

Kuna uwezekano mkubwa uli-diverts calls kwenye namba yako ya tgo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom