hata sija divert,na hata ukiuliza watu wanao divert watakwambia hawakatwi 1000 sijui 2000,hamna watu waongo kama voda,kila siku wana story mpya,mwanzoni walikuwa wananiambia saa fulani ulimpigia mtu wa tigo na mkaongea dakika kadha,wakati ninakuwa na uhakika sijapiga simu from voda to tigo wala hamna mtu aliyeshika simu zangu,inaelekea hata system zao si za uhakika,kuna siku walisema umepokea simu kutoka nje so umekatwa hela,yani ni wezi wakubwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.