Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 407
- 811
Nilituma pesa tangu juzi saa mbili jioni, lakini cha kushangaza sms ya malipo kwangu haikuja na wala kwa niliyemtumia pesa haikumfikia pia. Wakati huo huo huku salio langu linaoneshwa nimekatwa pesa!
Sasa tangu juzi na jana nimewapigia mara nyingi nachoambiwa pesa ipo hewani tayari nivute subira wanarekebisha mitambo yao, uvumilivu umenishinda aisee. Vodacom hiyo pesa ilikuwa na umuhimu mkubwa na wala sina pesa nyingine. Madhara mlionisababishia ni makubwa mno. Sasa basi mnirudishie tu pesa yangu ili nijue nitaitumaje.
Wakuu naomba mnisaidie hapa nifanyeje maana kama kuwapigia nimewapigia hadi basi.