Vodacom M-Pesa acheni udokozi wa pesa zetu nitawashitaki

Nyamwage

JF-Expert Member
Oct 16, 2020
634
1,535
Hi . Kuna upigaji wa vihela vidogovidogo huko M-pesa wanazani kua sisi ni wajinga hua hatufatilii taarifa za pesa zetu ndogo ndogo zilizoko huko M-pesa

Leo nimejitumiakiasi cha shilingi 1,100 kwenye account yangu ya tigopesa pesa ili ninunue kifurushi makato ya huo muamala yalikua 385 hii sio sahihi

Juzi nilimtumia mtu 5,000 kwenye account yake ya tigopesa makato yalikua 250 hii nisahihi

Sijakaa sawa unaingia ujumbe eti nimekatwa shilingi 30 kama makato ya songesha kwa hio Salio la deni la songesha ni 1257 inabidi nililipe ili lisiendelee kuongezeka nawakati kwenye account yangu ya M-pesa kuna salio liko muda mrefu na songesha kama unadaiwa ukiweka Salio tu kwenye M-pesa wanakata deni lao lote na mimi mara ya mwisho na weka pesa kwenye M-pesa walikata deni lao lote nikawa sina deni

Najaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja majibu nayopewa hayaridhishi nielekezeni nianzie wapi ili niishitaki Vodacom

Screenshot_20220611-111631.jpg
 
Chamsingi ndugu jitoe kwenye huduma zao zote,songesha,sijui miito na makorokocho yote..
Hiyo kutuma tigo nadhani kuna lugha fulani ya biashara,wanadiskareji kutumia mtandao mwingine,so lazima wachaji ghali kidogo
Mimi huwa wananila pale matumizi bila bando,ila nimeshtukia siku hizi,
Nina uhakika watakuwa wanalia watu wengi sana...
 
View attachment 2257181
Uliomba mkopo mwenyewe alafu unawalalamikia ,Vodacom wako hvi ,ukiwa hunasalio la kutosha mfano unataka kumtumia mtu 10000 na wewe kumbe kwenye AccOunt una shi 9000 una 10000 hapo lazima hela isitoke kwahyo watakuuliza tumia songesha ukikubali wanakukopesha na wanakutumia sms kwamba tumekuwekea kiasi flani utalipa baada yakuweka pesa sasa,so kila ukiweka wanakata chao mpka kiishe so ukitaka kujua ulikopeshwa songesha salio linabakigi 0.
 
Uliomba mkopo mwenyewe alafu unawalalamikia ,Vodacom wako hvi ,ukiwa hunasalio la kutosha mfano unataka kumtumia mtu 10000 na wewe kumbe kwenye AccOunt una shi 9000 una 10000 hapo lazima hela isitoke kwahyo watakuuliza tumia songesha ukikubali wanakukopesha na wanakutumia sms kwamba tumekuwekea kiasi flani utalipa baada yakuweka pesa sasa,so kila ukiweka wanakata chao mpka kiishe so ukitaka kujua ulikopeshwa songesha salio linabakigi 0
Mara ya mwisho naweka pesa walikata deni lao lote sikuwa na deni mimi angalia message
Screenshot_20220611-111631.jpg
 
Chamsingi ndugu jitoe kwenye huduma zao zote,songesha,sijui miito na makorokocho yote..
Hiyo kutuma tigo nadhani kuna lugha fulani ya biashara,wanadiskareji kutumia mtandao mwingine,so lazima wachaji ghali kidogo
Mimi huwa wananila pale matumizi bila bando,ila nimeshtukia siku hizi,
Nina uhakika watakuwa wanalia watu wengi sana...
hapo hapo kwenye kujitoa kwenye huduma zote bado hujatatua ili utatue inabidi ujitoe ufahamu tu ili utumia hiyo mitandao.
 
Eeeh hao ndiyo vodacom. Mie mbona niliwaendea hewani, Mpaka Leo hawakati pesa yangu hovyo. Ila hiyo songesha itakuwa umekopa kweli bhana, hawezi kukata hivi hivi.
 
Mkuu wewe utakuwa ulijisahau tu.Hawawezi kukukata bila kuwa unadaiwa.
 
Back
Top Bottom