Qurie
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 3,645
- 3,889
Kwakweli Vodacom nawahama Bora nirudi tigo Kuna kifurushi Cha size yako napata mb za kutosha kwa sh elfu Moja week nzima au niende halotel kwenye kile kifurushi Cha royal bundle haki voda siweki Tena vocha.... Yaan elfu mbili Mia tano (2500) mnanipa MB 800??
Line ya tigo nnayo na leo lazima nisajili line ya halotel tusinyanyasane bakini na hao hao ambao hawana uchungu na hela...
Line ya tigo nnayo na leo lazima nisajili line ya halotel tusinyanyasane bakini na hao hao ambao hawana uchungu na hela...