VodaCom ni WEZI

Never, hawa jamma hamna wanalofanya hata ukipeleka complain, mimi nina ushahidi nimepeleka complains mara kadhaa hadi kwa director wa TCRA but unachopata ni kimya. Sijui hii idara inafanya nini hasa. I suspect wana-collude na hawa operators wa mobiles na ndio maana wanatufanya jinsi wanavyotaka. TCRA ni uozo mtupu. U sihangaike hata kutumia browser yako kutembelea site lao. Do someting else useful na hama mtandao ingawa kote kuna downside, but choose the least downsided. At least I am informed on this. Akibisha tuweke emails nilizotuma personal na bila majibu. I thought they were dead until the sim reg exercise, I heard them they are there, BUT why no response as an authority.

Inawezekana unayosema ni sahihi. Mimi nafahamu kuna kesi nyingi tu za malalamiko ya wateja kwa operators wao zimeendeshwa kupitia TCRA kwa mwaka 2009. Kama kweli kuna wizi umetokea, kuhama mtandao peke yake hakutoshi ni lazima kuwashitaki ili michezo michafu ikome.
 
Back
Top Bottom