Vodacom ni Wezi?

Dah! Halafu bando zao zinatembea kweli kweli!! Yaani kifurushi cha wiki, kinaisha ndani ya siku 3 tu! Hapo umeingia tu JF na whatsapp!!

UKi download kitu, humalizi siku 2!! Vodacom Tanzania, haki ya nani mtaisikia tu pepo kwa majirani zenu.
 
Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio.

Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na muda wa matumizi. Kwa bahati mbaya sana mchana huu wananiambia kifurushi kimeisha!

Na Jana muda mwingi SAna nilikua offline. Kimetokea nini? Nimenunua tena mchana huu issue iko pale pale.

Na hii niliwahi experience Mara kadhaa huko nyuma. Ukinunua kifurushi halafu hupati SMS alert basi ujue hio bundle haina uhai mwingi.

Ukiwapigia ukabahatika kuwapata, sana majibu ya kukaririshwa mno! Hawanaga msaada wowote.

Anyway, nimenunua tena wacha tuendelee kunyanyaswa.
Niko vodacom kwa zaidi ya miaka 10..ninachojua sip tu wezi..pia ni wachawi. Kwanza bundle nyingi bei ina tofauti kwa mteja na mteja kulingana na matumizi yako. Lakini mbaya zaidi nilipoona nanunua salio au natuma pesa haifiki na salio wanachukua niliamua kuwahama..Huwezi amini nilifanya tu kubadili namba ya simu na sio kuhama voda😭😭😭🥺🥺🥺🥺🥺. Nilitupa line yanhu na nikaenda tena voda kusajili nyingine. NI WACHAWI, KUJINASUA UENDE TU KWENYE MAOMBI. MIMI PIA NITAENDA1🥺🥺
 
Kuna siku nimeuliza salio la mb zangu zilizobaki nikiwa nipo data on wakaniambia zimebaki mb 68, nikaona kumbe zitanisukuma, nimeingia fb tu ndan ya dak tano nikaona fb haiendi tena, mm hangaika weeee😂😂😂 nikijua shida itakuwa mtandao mpaka nikarequest internet configuration 😂😂😂, nimeikofim sasa ingia tena inagoma, nikasema ngoja nijarb yutubu. Mwee ngoma ikagoma. Bc akili ikasema we Abeid ebu ulizia salio tena😁, nilichokiona nikabaki nacheka tu ila nikajiambia "akufukuzae....." Saizi nipo zang halotel ila yule bwana bado nammc kwa kasi tu😂😂😂
Yaani sometime wanatuma msg eti bado mb 150, unaamua kuzimansata na kusign out insta kupunguza matumizi. The ushazima.data unaambia kifurushi kimeisha
 
Na waziri kakalisha tu naniliu zake anakula kiyoyozi
 
Yaani sometime wanatuma msg eti bado mb 150, unaamua kuzimansata na kusign out insta kupunguza matumizi. The ushazima.data unaambia kifurushi kimeisha
Kuna siku nilikuwa mjin YouTube ckuwa na mb nying sn ila zilikuwa 250 tu. Sasa natoka huko mjin youtube narud nyumbn kwetu homepage nikaletewa sms hapohapo eti data zimeisha. Nikasema ningejua ningebaki huko huko YouTube 😁😁😁
 
Ulichomoa? Ndio kosa, ungebaki humo humo
 
Oneni Voda walivyowezi. Yani nimeliza salio mara mbili ndan ya dak moja nikiwa nimefunga data na haya ndiyo majibu ya salio langu👇👇👇👇
Screenshot_20211028-234508.png
 
Nimejiunga Jana usiku wa saa 2
kifurushi cha wiki cha mb 550 kwa 1,000 .nikaingia jf kidogo kwa kuwa nilikua nimechoka nikazima DATA NIKALALA.naamka saa 9 usiku huu nasema acha niingie Instagram.
Ndani ya dakika 3.naambiwa data zimeisha.
Mbaya zaidi walivyo wezi wanakula kimya kimya
zamani walikuwa wanakwambia umetua data kiasi kadhaa umebakisha kiasi kadhaa.lakini Sasa hivi NI mwendo wa kimya kimya.baadae nitawapigia.
 
Yani kuingia uko na izo mb. Ndo umejiroga. Vd ni noma na wako speed kweli kweli kutuibia mb zetu. Tofauti na Halotel, mb zao zinaenda taratibu sn, sema mtandao ndo kimbembe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom