Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu sana wa kampuni hii sina namba nyingine.
Hivi karibuni pesa zinaondoka kweli... tia elfu tano piga simu mbili ya tatu utasikiaa piiiiiii halafu calas, sijui ni ule ushuru au ni nini kama hii ni trick fulani nadhani hii ni balaaa
Kwa mara ya kwanza nimeingia kampuni nyingine (jina mezea sipo kutangaaza biashara ya mtu) ile ile elfu tano nimepiga simu kibao
Jamani voda ni balaa sijui ni rate zao au ni kamdudu fulani ka kula hela wamekitia. Naendeleza namba hii kwa muda tu kisha nahama kabisa wakati ndugu jamaa na marafiki wamepata namba yangu mpya
Pole sana Chereko, hawa jamaa bure ghali, wengi tuliwahama muda mrefu sana lakini sim zao tunakaa nazo kwa ajili ya huduma nyingine kama M-pesa na Data vinginevyo kwa matumizi ya kupiga simu ni wizi mtupu!Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu sana wa kampuni hii sina namba nyingine.
Hivi karibuni pesa zinaondoka kweli... tia elfu tano piga simu mbili ya tatu utasikiaa piiiiiii halafu calas, sijui ni ule ushuru au ni nini kama hii ni trick fulani nadhani hii ni balaaa
Kwa mara ya kwanza nimeingia kampuni nyingine (jina mezea sipo kutangaaza biashara ya mtu) ile ile elfu tano nimepiga simu kibao
Jamani voda ni balaa sijui ni rate zao au ni kamdudu fulani ka kula hela wamekitia. Naendeleza namba hii kwa muda tu kisha nahama kabisa wakati ndugu jamaa na marafiki wamepata namba yangu mpya
wacha uwongo wako!!Mimi nikiwa Tanzania napenda zaidi ku roam kwa network ya Vodacon na Zain sababu zina voice quality nzuri sana ila ukitumia Tigo basi mushkira kelele kibao
baada ya kukukamua kwa siku 30 wana kupoza kwa sms 5, kama vipi wechukua watu wako mhimu waweke kwenye voda jamaa halafu nunua line ya TiGo (maana hata zain nao wezi tu) anza kuzoesha watu wako taaratibu baada ya miezi mitatu matumizi ya voda yatapungua na mwisho wa siku unaachana nayo maana kuhama ghafla unaweza kupoteza watu wengi na pengine ukajutatia...Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu sana wa kampuni hii sina namba nyingine.
Hivi karibuni pesa zinaondoka kweli... tia elfu tano piga simu mbili ya tatu utasikiaa piiiiiii halafu calas, sijui ni ule ushuru au ni nini kama hii ni trick fulani nadhani hii ni balaaa
Kwa mara ya kwanza nimeingia kampuni nyingine (jina mezea sipo kutangaaza biashara ya mtu) ile ile elfu tano nimepiga simu kibao
Jamani voda ni balaa sijui ni rate zao au ni kamdudu fulani ka kula hela wamekitia. Naendeleza namba hii kwa muda tu kisha nahama kabisa wakati ndugu jamaa na marafiki wamepata namba yangu mpya
Kusema ukweli Vodacom ni balaaa.....simu ya wenye pesa. Nimekuwa na Voda number muda mrefu nadhani ni mmoja wa watu wa kwanza kuingia voda siku ya kwanza kuanza hapa nchini na nimekuwa mwaminifu sana wa kampuni hii sina namba nyingine.
Hivi karibuni pesa zinaondoka kweli... tia elfu tano piga simu mbili ya tatu utasikiaa piiiiiii halafu calas, sijui ni ule ushuru au ni nini kama hii ni trick fulani nadhani hii ni balaaa
Kwa mara ya kwanza nimeingia kampuni nyingine (jina mezea sipo kutangaaza biashara ya mtu) ile ile elfu tano nimepiga simu kibao
Jamani voda ni balaa sijui ni rate zao au ni kamdudu fulani ka kula hela wamekitia. Naendeleza namba hii kwa muda tu kisha nahama kabisa wakati ndugu jamaa na marafiki wamepata namba yangu mpya
Mie nadhani watu wengi wanaumia kwa sababu wanahangaika kuretain number zao. Process ya kuhama nayo ni ngumu na si rahisi kuhamisha watu hata kama utawaarifu wale woote walio kwenye fonebook yako. Bado kuna wengine waliopata namba kwa namna moja au nyingine unaweza kuwakosa. nadhani suala la msingi ni kuondoa monopoly ya namba kwenye kampuni ya simu. Yaani mtu awe anaweza kuhama mtandao na namba yake kama wafanye UghaibuniNi kweli kabisa mkuu, VODA ni balaa, nami nakaribia miaka 8 toka niwe na voda na nimekuwa muumini mzuri wa hii kampuni nikihofia kubadilisha number kwamba it will be inconvinient kwa jamaa zangu ( bila kujijali mimi kwanza).
Yaani ukiweka Sh.5000 kama vile kuna kidudu mtu flan make ukibahatika kupiga simu nne ambazo ni dakika2 nakuendelea kila moja sijui, labda uwe voda jamaa ambayo ina limit watano at a go na 15 kwa mwezi. Wakati mtandao mwingine unaweza ukadunda na 5000 (si zain) kwa siku, kwa voda atleast 15,000. Mnatuua jamani voda ama ndo asila za kagoda, richmond na dowans?
Mie nadhani watu wengi wanaumia kwa sababu wanahangaika kuretain number zao. Process ya kuhama nayo ni ngumu na si rahisi kuhamisha watu hata kama utawaarifu wale woote walio kwenye fonebook yako. Bado kuna wengine waliopata namba kwa namna moja au nyingine unaweza kuwakosa. nadhani suala la msingi ni kuondoa monopoly ya namba kwenye kampuni ya simu. Yaani mtu awe anaweza kuhama mtandao na namba yake kama wafanye Ughaibuni
Honestly linawezekana nadhani MjasiriamaliShupavi kuna haja ya kuona namna gani tunawang'ang'ania hawa watu na kuhakikisha unaweza kuhama mtandao na namba yako. Hakuna cha 0713 au 0754 ya nani sijui. Ingawa cost yake hutajua nani ni voda na nani ni tigo mpaka umuulize muhusika. Lakini benefit ni kubwa zaidiTCRA mko wapi jamani mtusaidie katika hili?