Good Guy JF-Expert Member Oct 24, 2010 3,809 1,406 Sep 29, 2012 #41 NingaR said: Me mpaka offer iishe ndo ntajua kuhama saiv wacha nikomae nao tu Click to expand... hahaha dah hii offer nzuri ila inatesa asee, niliitumia kama siku 3 nikawa nalala saa 5am niliugua mbaya.
NingaR said: Me mpaka offer iishe ndo ntajua kuhama saiv wacha nikomae nao tu Click to expand... hahaha dah hii offer nzuri ila inatesa asee, niliitumia kama siku 3 nikawa nalala saa 5am niliugua mbaya.
NingaR JF-Expert Member Apr 15, 2012 2,759 590 Sep 29, 2012 #42 Good Guy said: hahaha dah hii offer nzuri ila inatesa asee, niliitumia kama siku 3 nikawa nalala saa 5pm niliugua mbaya. Click to expand... Inaonekana wewe sio mzoefu wa kukesha mkuu, me hua napiga game na kuchek movies mpaka 12 then naangusha mpaka 6, yote hayo because of high school studies man
Good Guy said: hahaha dah hii offer nzuri ila inatesa asee, niliitumia kama siku 3 nikawa nalala saa 5pm niliugua mbaya. Click to expand... Inaonekana wewe sio mzoefu wa kukesha mkuu, me hua napiga game na kuchek movies mpaka 12 then naangusha mpaka 6, yote hayo because of high school studies man