Wild Thoughts
JF-Expert Member
- Mar 17, 2019
- 562
- 991
Na mimi hawata pata tena hela zangu yaani wamenitibua hatariLaini yao siweki vocha zaidi ya miezi miwili sasa
Kufurushi cha uni walikitoa wakanibakizia cha
3000=2GB+ dakika+SMS(wiki)
dakika hua sizitumii hata wakizitoa ila waongeze MB's. Yaani hiki kifurushi hua najibana siangalii videos wala ku download file kubwa labda audios tu ili kimalize wiki lakini hakitoboi koo kwa wiki naunga viwili.
Sasa walivyo miqundu migumu kama ya chonja jana wakapunguza ten MB's zikabaki 1.2GB
Kifurushi changu kikiisha natupa na laini ya voda.