Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
Urahisi na unafuu wa vifurushimpango gani
Urahisi na unafuu wa vifurushimpango gani
kwa buku unapata mb 1024 kwa wiki tena laini yoyote so hakijaharibika kitu hapoUkija halotel ndio utachoka, zamani jero tulikuwa tu napata mb 500 kwa wiki vifurushi vya chuo. Leo nmeshangaa wamevinyambua eti mb 250 na dakika za halotel 30, hivi nani ana shida na dakika za kupiga?
Jamaa wapo hovyo kinoma.
Huwezi kununua kifurushi kimoja miezi mitatu mfululizo kwa gharama ileile.
Sijui ni roho mbaya au ni dharau.
Kila siku menu inabadilika, bei za vifurushi zinabadilika. Hawana kitu cha kudumu.
Nawasikilizia mwezi mmoja wasipoweka mambo sawa nahama mazima, line itabakia kwa ajili ya miamala kwa muda then naitupa kapuni.
hapo inabidi ujiinge kifurushi cha elf15 kwa wiki unapata GB 10
We kama mimi mkuu halotel kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao 200 au 120 yote na halotel 300 , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.Mimi nilikua mteja wao saivi internet natumia halotel.
Nashangaa juzi voda wamenipigia simu kunisisitiza niendelee kitumia vfirush vyao vya internet maana nilikua na matumizi mazuri..
Sikuwajibu nilkata simu.
Halotel nao washapandishaMimi nilikua mteja wao saivi internet natumia halotel.
Nashangaa juzi voda wamenipigia simu kunisisitiza niendelee kitumia vfirush vyao vya internet maana nilikua na matumizi mazuri..
Sikuwajibu nilkata simu.


ktk uchumi kuna kitu kinaitwa elasticity, sasa huduma za voda ni za ufanisi kuliko mitandao mbadala so automatically voda huduma zao zinaangukia kundi la inelastic yaani wakipandisha bei kwa 90% idadi ya watumiaji inapungua kwa 10% tu so hata mpige kelele vipi wanajua hamna pa kwenda na dhumuni lao la faida linakuwa limefanikiwa.
Ukija halotel ndio utachoka, zamani jero tulikuwa tu napata mb 500 kwa wiki vifurushi vya chuo. Leo nmeshangaa wamevinyambua eti mb 250 na dakika za halotel 30, hivi nani ana shida na dakika za kupiga kwa buku 10 tu?
Vifurushi vya Royal ndo mpango mzima yaani hapa bongo mitandao yenye unafuu ni miwili tu halotel na ttcl basi wengine wezi.Halotel nao washapandisha![]()
Hivyo vifurushi vya royal vipoje na menu yake ni ipi niitafute. Maana niliwahama baada ya kuanza usenge wa kutuuzia data feki, bundle la week halikatizi siku 3 halafu bundle la chuo kubababae😂😂😂 nikaacha line anaenipigia na apige huko.Njoo halotel kuna vifurushi vya Royal unajiunga kwa 10k mwzi mzima dakika za mitandao yote na halotel , sms kama zote na internet bila kipimo wala kikomo mwezi mzima. Unaingia kila mtandao wa kijamii bila kulimitiwa sjui youtube unawezxa hata shida youtu.be unastream mamuvi na udaku insta ni wewe tu acha kujitesa wote voda tushaikimbia mda. Voda kwangu ipo hewani kwa ajili ya kuokea wanaopiga tu sio niweke salio no narudia tena noooo.
Unajiungaje hio royal bundle kama ni unlimited internet watanishawishi kurudi ila kama ni ule utoto wa kuuziana GB 6 kwa elfu kumi ambazo hazitoboi hata week na nusu sitarudi.Mkuu unakosa mengi niunge kifurushi cha Royal bando ndo utaenjoy dakika 200 au 120 mitandao yote halotel dakika 300 internet bila kikomo mwezi mzima hata ushinde youtube mda wote ni ww tu.
nielekeze hio Royal bundleVifurushi vya Royal ndo mpango mzima yaani hapa bongo mitandao yenye unafuu ni miwili tu halotel na ttcl basi wengine wezi.
Acha ubahili wa kipare utakufa maskini. Tumia pesa ikuzoee na ikizoee kweli kweli.aisee huu mtandao umeongeza sana gharama za MB zamani walikuwa wananipa Gb 1 Kwa buku kwa ofa za Uni sasa hivi Gb 1.5 kwa wiki kwa buku 5 aisee nani mwenye uwezo wa kuendelea kutumia internet yenu??? Nimewachoka naenda TTCL