Nani anajua formula ya kukopa vodacom M - power anipe utaratibu
Hakatwi mtu hapa .aisee huu mtandao umeongeza sana gharama za MB zamani walikuwa wananipa Gb 1 Kwa buku kwa ofa za Uni sasa hivi Gb 1.5 kwa wiki kwa buku 5 aisee nani mwenye uwezo wa kuendelea kutumia internet yenu??? Nimewachoka naenda TTCL
aisee huu mtandao umeongeza sana gharama za MB zamani walikuwa wananipa Gb 1 Kwa buku kwa ofa za Uni sasa hivi Gb 1.5 kwa wiki kwa buku 5 aisee nani mwenye uwezo wa kuendelea kutumia internet yenu??? Nimewachoka naenda TTCL
Yani unatoka voda unaenda ttcl?aisee huu mtandao umeongeza sana gharama za MB zamani walikuwa wananipa Gb 1 Kwa buku kwa ofa za Uni sasa hivi Gb 1.5 kwa wiki kwa buku 5 aisee nani mwenye uwezo wa kuendelea kutumia internet yenu??? Nimewachoka naenda TTCL
Ungewapa ukweli wao mkuu.Mimi nilikua mteja wao saivi internet natumia halotel.
Nashangaa juzi voda wamenipigia simu kunisisitiza niendelee kitumia vfirush vyao vya internet maana nilikua na matumizi mazuri..
Sikuwajibu nilkata simu.
TTCL mpango mzima
Yani unatoka voda unaenda ttcl?