Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Vpn ni security ambayo ibakuwezesha wewe mtumiaji wa mtandao juweza ku access website, au social network zilizo kua burned katika eneo furan eg Facebook kuna baadhi ya nchi uwezi kuingia fb mpaka utumie vitual private network vpn ku access fb, so vpn Kama vpn nayo inakula kula bundle hatari ukiachana na sehem unayo enda ku browse
 
Wamekuwa wahuni kuzidi jamani unaweza kuweka GB daa utazani mb 25 hakuna kitu
 
Ndani ya mwezi 1 wanabadilisha bei ya vifurushi na mb zinatembea kama kama mshale wa saa tabu tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom