Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Ttcl wapoje mkuu?
View attachment 878538
_20180925_174432.JPG
 
Voda washasema Yajayo yanafurahisha, upo tayari, mara paaap kifurushi kimebadilika, mara paap kifurushi hakipo kabisa, bado tu kubadilisha bei ya kifurushi kianzie mia nane, ili hiyo jero ukanunulie soda upoze kiu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom