Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Vodacom nao wapandisha bei vifurushi

Mm ndio ninayotumia hiyo mkuu huku Uengereza usinite muongo pia Nina marafiki zangu nchi mbalimbali wanatumia hio bila ya mb, FREE INTERNET
Mkuu ukiona hivyo huo mtandao una kitu kinaitwa UDP open port hii njia ya VPN mitandao mingi ya kibongo walishashtukia

unaweza search thread za zamani za jf utaona.

Hii kwa hapa bongo haiwezi fanya kazi kwa mitandao karibu yote.
 
Subirini niwafundishe kutumia Internet bure saivi niko njiani nikifika nikitulia nitawafundisha vp kutumia Internet bure, ni kitu cha dakika 0 tu mm niko nje ya Tz ila pengine huenda na mitandao ya uko inakubali hivi tunavyofanya huku
Sisi tena kwa kupenda mseleleko mkuu acha bhn tujifunze kupenda kulipia bill zetu
 
Futa step izi, KWANZA HAKIKISHA DATA YAKO IKO ON, NENDA KWENYE GOOGLE PLAY STORE NA DOWNLOAD APP INAYOITWA PSIPHON , UKISHAIDOWLOD IFUNGUE , ALAFU NENDA KATIKA KITU KIMEANDIKWA OPTION, KATIKA SEHEMU HIO UTAKUTA KUNA NCHI MBALIMBALI ILA NAHISI TZ HAIPO WW UTACHAGUA HIO YA KWANZA AMBAYO IMEANDIKWA (BEST PERFORMANCE) UTAIBONYEZA, ALAFU NENDA KWE START BONYEZA HIO START KIKIJA HICHO KIUFUNGUO KAMA UNAVYOKIONA KWENYE SCREENSHORT YANGU BASI NDIO UNATUMIA INTERNET BURE KUANZIA APO MPAKA MAISHA YAKO YOTE, Isipokubali katika mtandao huo unaotumia jaribu kutumia lain tofauti coz nahisi sio lain zote inakubali nahisi kama watu wa India wanatumia Airtel kwa hio application (PSIPHON) mm huku niliko natumia mtandao wa o2View attachment 877494View attachment 877495View attachment 877496View attachment 877497
Psphon handler tulikuwa tunakamua na halotel ila ilishabuma zamani so sidhani kama italeta access kwa sasa!!
 
Subirini niwafundishe kutumia Internet bure saivi niko njiani nikifika nikitulia nitawafundisha vp kutumia Internet bure, ni kitu cha dakika 0 tu mm niko nje ya Tz ila pengine huenda na mitandao ya uko inakubali hivi tunavyofanya huku
Utanifaa sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom