Mkuu hamna net ta bure au acha kutudanganya navojua mm vpn ni makampuni yanaouza net nchi mbalimbali kwa iyo unanunua na sio kutumia free hapana mim natumia net ya your freedom vpn hii nalipia na ukapewa saa 1 ya trail ni free ikiisha net inakata kwa iyo hata hii yako nimeconect ikakubal ila salio la mb lilipoisha tu na vpn yako ikakata na ina load tu kuwa ina connec lakin hamna ukiwe tena salio inakubal kuconnect salio likiisha tena nayo inakata kwa iyo huu ni uongo mkubwa umetudanganya watz na wanajanvi wenzako sio poa wala cjapenda au labda hii vpn niya mahuck unataka tuhakiwe!!!???
Na kama kuna aliefanikiwa kuconnect bila salio wala mb alete hapa ushahidi .