mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Kampuni ya mawasiliano vodacom nao wapandisha bei vifurushi vya ofa vya chuo sijui tukimbilie mtandao upi wakuu
Tumeipenda wenyewe chaguo letu mileleTunaisoma?
Wanaisoma?
Wayaaa
Wayaaaa
Tunasomana kifo cha mende chali




Utakuwa mkombozi sanaSubirini niwafundishe kutumia Internet bure saivi niko njiani nikifika nikitulia nitawafundisha vp kutumia Internet bure, ni kitu cha dakika 0 tu mm niko nje ya Tz ila pengine huenda na mitandao ya uko inakubali hivi tunavyofanya huku
Subirini niwafundishe kutumia Internet bure saivi niko njiani nikifika nikitulia nitawafundisha vp kutumia Internet bure, ni kitu cha dakika 0 tu mm niko nje ya Tz ila pengine huenda na mitandao ya uko inakubali hivi tunavyofanya huku
Na subiri aiseSubirini niwafundishe kutumia Internet bure saivi niko njiani nikifika nikitulia nitawafundisha vp kutumia Internet bure, ni kitu cha dakika 0 tu mm niko nje ya Tz ila pengine huenda na mitandao ya uko inakubali hivi tunavyofanya huku
Units ni Kama unapo nunua umeme unapewa units so kwa lugha tulio izoea ndo uwa tunaita bundleHizo units ndio kitu gani mkuu?
Uniti ni kama dakika,Unit 1 ni sawa na dakika 1 voda kwenda vodaHizo units ndio kitu gani mkuu?
Units ni Kama unapo nunua umeme unapewa units so kwa lugha tulio izoea ndo uwa tunaita bundle
Ambazo ni sawa na MB moja pia? Na message moja?Uniti ni kama dakika,Unit 1 ni sawa na dakika 1 voda kwenda voda
Hivi hii inafanya kazi kweli kuna mtu amefanikiwaJARIBU MITANDAO MBALIMBALI KAMA TIGO, VODA, HALOTEL, AIRTEL NK, HAKIKISHA KABLA YA KUFANYA DATA YAKO IKO ON View attachment 877506
Wamekuwa wahuni sanaVodacom wahuni. Ukiongeza sali la M-PESA wanakuzawadia M kwa ofa ya kijiweni. Lakini cha ajabu hizo MB haziwezi vungua mtandao wowote.
Nani ameshafanikiwa kupata net free kwa kutumia hii app hiiiJARIBU MITANDAO MBALIMBALI KAMA TIGO, VODA, HALOTEL, AIRTEL NK, HAKIKISHA KABLA YA KUFANYA DATA YAKO IKO ON View attachment 877506