Vodacom na 'utapeli' wao katika vifurushi vyao washika kasi

K

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Messages
1,031
Points
2,000
K

kasenene

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2008
1,031 2,000
Check mfumo wa simu yako tatizo simu Ina app za kutosha na kumbuka nyingne zinakuwa updated automatically na unavideo mingne iko downloaded automatically sasa unategemea nn ndugu??????? Simu zetu zina mambo mengne yanatumia data kufanya kaz kwahyo ukifungua tu hayo yanatiririkaaaa
Asante kwa taarifa ila angalizo ni kwamba Vodocom wenyewe wamekili nyongeza ya gharama bila kutoa taarifa kwa wateja arafu sijafanya "uptdate au kudownload any new apps" kwa zaidi ya miezi minne (4)kwanini tofauti ionekane kwa miezi miwili mitatu tu hii..kuna jambo linafanyika basi tu sisi watumiaji hatujaelewa na naogopa isije ikawa kuna mkono wa "Sirikali"....na ajenda ya kutukamua zaidi ....
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
19,219
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
19,219 2,000
Hawa mbuzi mbuzii ni kuwachomolea betri tu hamna namna🤣🤣🤣
 
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,500
Points
2,000
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,500 2,000
Aisee nilifikiri ni kwangu tu.
Nilikuwa najiunga GB 3 inakaa hata siku 5 lakin saiv inakaa siku mbili na matumizi ni yale yale. Hatari sana hii.
 
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2008
Messages
15,654
Points
2,000
tpaul

tpaul

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2008
15,654 2,000
Ni kweli kabisa. Sasa hivi hawa makaburu wamekuwa wezi kupindukia.

Sijawahi kuona kampuni wezi na matapeli kama Vodacom Tanzania. Mwanzo tiGO ndio walikuwa wakali kwenye wizi lakini sasa hawa mikwundwuvodacom wametia fora.
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma.

Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiliko japo hawakutoa taarifa kwa wateja.

Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
 
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Messages
403
Points
250
DavidHard

DavidHard

JF-Expert Member
Joined Nov 4, 2011
403 250
Hawa vodacom wamekuwa wezi sana kupindukia..nashukuru Tigo wametusaidia huku mikoani..ukijiunga 2000 voda ..utadhani umeweka hela bila kuunga bundle..mb zinaisha masaa 12 ni mengi..ila tigo 2000..unaiona thamani ya pesa..voda wamekuwa wezi sana
 

Forum statistics

Threads 1,336,348
Members 512,581
Posts 32,535,773
Top