- Thread starter
- #21
Asante kwa taarifa ila angalizo ni kwamba Vodocom wenyewe wamekili nyongeza ya gharama bila kutoa taarifa kwa wateja arafu sijafanya "uptdate au kudownload any new apps" kwa zaidi ya miezi minne (4)kwanini tofauti ionekane kwa miezi miwili mitatu tu hii..kuna jambo linafanyika basi tu sisi watumiaji hatujaelewa na naogopa isije ikawa kuna mkono wa "Sirikali"....na ajenda ya kutukamua zaidi ....Check mfumo wa simu yako tatizo simu Ina app za kutosha na kumbuka nyingne zinakuwa updated automatically na unavideo mingne iko downloaded automatically sasa unategemea nn ndugu??????? Simu zetu zina mambo mengne yanatumia data kufanya kaz kwahyo ukifungua tu hayo yanatiririkaaaa