Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Afadhali Voda halotel ndio majanga kabisa... Spidi kinyonga bando kiduchu bei kubwaWadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Kwa uzoefu wangu, Voda ndiyo wezi wanaongoza.Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
[/QU
Pengine ni maelekezo maalum kwa ajili ya kukusanya pesa ya kujenga "reli" na "miundombinu ya umeme" au pesa ya uchaguzi tofauti na utaratibu wa makusanyo unaoeleweka!!kumbukeni chama sasa hakina wafadhili tena wa kumwaga pesa kama zamani...Ulaji wa data za intaneti tiGo ni aina mpya ya wizi, ufisadi, na ujambazi
Leo nimeweka GB 1 kwenye mtandao wa tiGo lakini imepeperushwa na upepo ndani ya masaa nane tu kwa kuperuzi WhatsApp na Jamiiforums! Hawa watu wa data za intaneti kwanini wanafanya wizi wa namna hii!? This is ridiculous! Huu ni ujambazi na utapeli wa kutisha! TCRA wameng'ang'ana tu kusajili...www.jamiiforums.com
Halotel ipo vizuri maeneo ya mjini labda upo bush halafu tumia megabando hao voda ndo wezi sijapata kuona kuangalia video moja youtube inakatwa hadi mb 40 wakati halotel ni mb 10 tuAfadhali Voda halotel ndio majanga kabisa... Spidi kinyonga bando kiduchu bei kubwa
Umewapigia Vodacom na wakakiri. Unakuja huku unatuuliza tena kama ni kweli, hivi upo unajielewa kweli au story yako ni ya kutunga?Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Rudi Nyumbani kumenoga!Afadhali Voda halotel ndio majanga kabisa... Spidi kinyonga bando kiduchu bei kubwa
Sasa hivi mitandao yote kuna shida,labda wenzetu Airtel,vifurushi ukijiunga speed ya internet inakuwa ni kama jongoo,hivi TCRA wanafanya nini?hawajui au wanashirikiana na haya makampuni ya simu,inakera kwa kweli...Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Check mfumo wa simu yako tatizo simu Ina app za kutosha na kumbuka nyingne zinakuwa updated automatically na unavideo mingne iko downloaded automatically sasa unategemea nn ndugu??????? Simu zetu zina mambo mengne yanatumia data kufanya kaz kwahyo ukifungua tu hayo yanatiririkaaaaWadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!