Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma.
Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiliko japo hawakutoa taarifa kwa wateja.
Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiliko japo hawakutoa taarifa kwa wateja.
Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!