Vodacom na 'utapeli' wao katika vifurushi vyao washika kasi

kasenene

JF-Expert Member
Jun 6, 2008
1,632
2,413
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma.

Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiliko japo hawakutoa taarifa kwa wateja.

Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
 
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Afadhali Voda halotel ndio majanga kabisa... Spidi kinyonga bando kiduchu bei kubwa
 
Kwa uzoefu wangu, Voda ndiyo wezi wanaongoza.
Kiasi sawa cha bundle, ya Voda utadhani zinapeperushwa na upepo.
 
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
[/QU
Pengine ni maelekezo maalum kwa ajili ya kukusanya pesa ya kujenga "reli" na "miundombinu ya umeme" au pesa ya uchaguzi tofauti na utaratibu wa makusanyo unaoeleweka!!kumbukeni chama sasa hakina wafadhili tena wa kumwaga pesa kama zamani...
 
Afadhali Voda halotel ndio majanga kabisa... Spidi kinyonga bando kiduchu bei kubwa
Halotel ipo vizuri maeneo ya mjini labda upo bush halafu tumia megabando hao voda ndo wezi sijapata kuona kuangalia video moja youtube inakatwa hadi mb 40 wakati halotel ni mb 10 tu
 
Na mimi ni mhanga wa hii kitu nadhani TCRA ni wakat muafaka wa kufuatilia whats happening behind the scenes, had ninavyoongea nimeshatumia elfu sita kwenye internet tangia asubuhi,
 
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Umewapigia Vodacom na wakakiri. Unakuja huku unatuuliza tena kama ni kweli, hivi upo unajielewa kweli au story yako ni ya kutunga?
 
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Sasa hivi mitandao yote kuna shida,labda wenzetu Airtel,vifurushi ukijiunga speed ya internet inakuwa ni kama jongoo,hivi TCRA wanafanya nini?hawajui au wanashirikiana na haya makampuni ya simu,inakera kwa kweli...
 
Wadau nimekuwa nikifuatilia zaidi ya mwezi sasa nikijiunga na badhi ya virushi vya kampuni tajwa hapo juu pesa zinaisha haraka tofauti na siku za nyuma. Nilipojaribu kuwapigia Vodacom kweli walikiri kuwa kuna baadhi ya mabadiriko japo hawakutoa taarifa kwa wateja. Sasa sijui kama kweli hii ni sahii!!
Check mfumo wa simu yako tatizo simu Ina app za kutosha na kumbuka nyingne zinakuwa updated automatically na unavideo mingne iko downloaded automatically sasa unategemea nn ndugu??????? Simu zetu zina mambo mengne yanatumia data kufanya kaz kwahyo ukifungua tu hayo yanatiririkaaaa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom