modem ni kama bomba
modem inapitisha internet
bomba linapitisha maji
sasa wewe fundi akikuambia kuna bomba zuri nene linapitisha maji mengi and then unakaa jangwani bomba lisipopitisha maji utamlaumu fundi kua kakudanganya bomba ni fake? Au utalaumu mamlaka inayotakiwa ikufikishie maji
modem zote mpya mitandao yote now ni 7.2 tigo voda na airtel lakini haimaanishi modem itakupa speed ni mtandao ndo utakupa so maybe eneo uliopo halikamati signal za 3g thats why
hebu angalia dashboard (software ya modem) ukiconect modem inaandika network gani kati ya hizi.
1.gprs
2.edge
3.wcdma
4.hspa
5.hdspa
6.umts
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!
mkuu asante mtandao unaonyesha HSPA, but bado ni down,,some town huwa nakuwa town kabisa moshi clock tower hapo lakini bado shida iko palepale, je browers ninayotumia (Google chrome) yaweza kusababisha huu uslow..thank kwa mchango wako kaka
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!:thumbup:
Mkuu mimi nipo Kinondoni lakini bado sipati speed nzuri ingawa kwenye board napata WCDMA,HSPA natumia AIRTEL
Kwanza ningependa kujtwambia kwamba mtandao wa 3G haupatikani kila sehemu nchini kwetu. Kama ukichomeka modem unaona 2G yaani EDGE ama GPRS. Lazima mtandao utakuwa chini, kama unatumia mtandao ktk laptop basi kjaribu kuhama kutoka eneo moja mpaka jingine mpaka modem itakapoonyesha WCDMA HSPA ama UMTS zikimaanisha umepata 3G. Kama upo ndani ya nyumba na bado unasumbuka basi jaribu kwenda nje na angalia mabadiliko. Ahsante na ukafanikiwe!
mkuu asante mtandao unaonyesha HSPA, but bado ni down,,some town huwa nakuwa town kabisa moshi clock tower hapo lakini bado shida iko palepale, je browers ninayotumia (Google chrome) yaweza kusababisha huu uslow..thank kwa mchango wako kaka
Sidhani kama inaweza kuwa hivyo ila unapobrowse angalia kawindow ka modem kanaonyesha download na upload speed gani then utajua kama tatizo ni mtandao ama softwares za ndani ya pc yako
Ni ajabu kusikia hivyo maana kinondoni 3G ipo vizuri sana ila angalia huenda kuna program ambazo zinatumia internet kwa chini yaani background. Pia unaweza kuangalia windows update pia kama inatumia mtandao hufanya ww kupata speed ndogo kabisa. Angalia na modem ama network drivers na hardwares pia huenda zinamatatizo:thumbup: