Lakini suala la wakala kuibiwa commision na vodacom bado ni kubwa,na kwa kweli linakatisha tamaa. Haiwezekani,mtu unajumlisha ile bonus inayotokana na transactions za siku,lakini mwisho wa mwezi unacholetewa kinakatisha tamaa...,say ukijumlisha unapata laki nne na nusu,mwisho wa mwezi unapewa laki tatu na elfu kumi. Ukiwasumbua sana wanakuongezea.
Na hii inalalamikiwa na mawakala wengi...,ukiwasiliana na customer care hawana msaada wowote.