Vodacom Mpesa ni wezi.

Vodacom Mpesa ni wezi.

Kwa kuongezea nami naomc kueleweshwa namna faida inavyopatikana kwa uwakala wa mpesa, tigo pesa ama airtel money maana ninaplan kua wakala siku za usoni.

...Naona Mkuu Mzee baada ya tatizo lake kupata Ufumbuzi amesepa bila kutupa Ushauri tuliomuomba! Sijui ndio yale mambo yetu yalee ya kiafrika ya ukitaka ushauri wa kujiunga na biashara ya Daladala kutoka kwa mfanya biashara wa Daladala anakushauri kuwa KAMWE usijiunge nayo Itakupa Ugonjwa wa Moyo...ambao yee mwenyewe haupati!! kaazi kweli kweli...🙂

Kwa kuongezea nami naomc kueleweshwa namna faida inavyopatikana kwa uwakala wa mpesa, tigo pesa ama airtel money maana ninaplan kua wakala siku za usoni.
Skype
Kwanza samahani sana kwa kuchelewa kujibu.

Ni hivi, Kampuni husika inakulipa kwa Kila muamala unaoufanya i.e kutoa na kuweka.

Sina uhakika kuwa wanatoa asilimia ngapi.

Kila mwisho wa mwezi wanakutumia ulichovuna ktk mwezi husika.
 
Last edited by a moderator:
...Naona Mkuu Mzee baada ya tatizo lake kupata Ufumbuzi amesepa bila kutupa Ushauri tuliomuomba! Sijui ndio yale mambo yetu yalee ya kiafrika ya ukitaka ushauri wa kujiunga na biashara ya Daladala kutoka kwa mfanya biashara wa Daladala anakushauri kuwa KAMWE usijiunge nayo Itakupa Ugonjwa wa Moyo...ambao yee mwenyewe haupati!! kaazi kweli kweli...🙂

Baba Desi

Sipo hivyo, na kamwe siwezi kuwa hivyo.

Nimejarbu kumjibu kadri nijuavyo.
 
Last edited by a moderator:
hamia airtel.........................mpango mzima!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Duuu yan mimi mpaka niamin kwa alye kua wakala ajalib kukosea ku2ma hela a2me ktk namba yang nitaamin voda wez.
 
Lakini suala la wakala kuibiwa commision na vodacom bado ni kubwa,na kwa kweli linakatisha tamaa. Haiwezekani,mtu unajumlisha ile bonus inayotokana na transactions za siku,lakini mwisho wa mwezi unacholetewa kinakatisha tamaa...,say ukijumlisha unapata laki nne na nusu,mwisho wa mwezi unapewa laki tatu na elfu kumi. Ukiwasumbua sana wanakuongezea.
Na hii inalalamikiwa na mawakala wengi...,ukiwasiliana na customer care hawana msaada wowote.
 
Back
Top Bottom