Vodacom mnanivunjia ndoa


Mkuu kama upo karibu na ofisi za tcra watembelee wakuelekeze cha kufanya na unapowapigia vodacom jaribu kurecod kile unachoaambiwa unakua ushahidi tosha kwako,
 
Geba wee mtoto wa kiume usipende kuendeshwa na mwanamke. Akipigiwa simu na sauti ya kike. mwambie huyo alikua mpenzi wangu wa zamani lkn tuliachana. sio unaipigia papuchi magoti hawa wadudu wakishajua wewe ni dhaifu kwao utakula makande siku ya eid el fitr
 

Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Wacha weeeeeeeeee!
 
hakuna janjanja,nimecheki hakuna call diverted tatizo lipo kwahao voda

Na hilo ndo tatizo lako kubwa, ubishi, unashindwa kuaccept tatizo ili upewe utatuzi. King'asti kakupa utatuzi wa tatizo lako bado unabisha. So what do u think that will be the possible cause other than this boss? Maana unaposema tatizo lipo kwao nashindwa ku-imagine unamaanisha nini hapa.
Sasa nakupa 3 options.
1. Press ##002# OK. Au,
2. Go to Settings > Call Settings > Call divertion > select Cancel Incoming Call divertions/Cancel All Call Diverts
3. Ikiwa bado nafsi inakutuma kubisha basi ni-pm namba yako nikiingia kwa ofisi nikuchekie kama hzo settings zipo niku-deactivate.
Pole kwa masaibu.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu upo sawa kabisa lakin inawezekana kabisa hili tatizo halipo kwake ajaribu kuwasiliana na huyo dada kupitia no nyingine amuombe abonyeze hizo no.Ikishndikana hapo watembelee hao jamaa ofsin kwao bila shaka utasaidiwa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu upo sawa kabisa lakin inawezekana kabisa hili tatizo halipo kwake ajaribu kuwasiliana na huyo dada kupitia no nyingine amuombe abonyeze hizo no.Ikishndikana hapo watembelee hao jamaa ofsin kwao bila shaka utasaidiwa.

We subiri atakuja hapa atakupinga balaa ataendelea kusisitiza tatizo ni voda. Maana ukisoma post zake ktk thread nzima anabisha kila ushauri.
 
kweli hilo ni tatizo nenda voda wakueleze kisa na mkasa
 
hahaaaaaha
Mkuu umenivunja mbavu asubuhi asubuhi na mchepuko akigundua atakutumia za mfululizo lol:smile-big:
 
kwakwakwa kweli kaka unawatuhumu voda kwa hili?kuwa serious
 
Aya mkaka fuata ushauri uliopewa siyo unakua mbishi mbishii..hiyo ndoa itavunjika vipisi vipis
 
hahaaaaaha
Mkuu umenivunja mbavu asubuhi asubuhi na mchepuko akigundua atakutumia za mfululizo lol:smile-big:

Siku zote wife muite WIFE kwenye sms hata mchepuko nae muite DEAR WIFE ili ukimixiwa sms hakuna atakaehisi sio yake
 
hizo ndio tabia za wanawake wa mjini...alikupa mambo ukalala unono alafu akaweka call divert kwenye simu yako
 

Exactly hata mimi yaliyokupata yalishawahi kunipata na hao wanaojiita hakatwi mtu AIRTEL niliwafuata wakasema kuwa eti kwa mara ya kwanza kumsikia mtu mwenye shida kama yangu.Nilichokifanya kwa kuwa tulikuwa na line ya Tigo na Voda pia ikabidi tuwapige chini hakatwi mtu mazima hata line yao sijui niliitupa wapi
 

Haki ya nani wewe Mhaya huna akili nzuri!! Unatufanya tucheke peke yetu kama mataahira aisee!! Huu utaratibu siyo mzuri kwa kweli! Mods naomba huyu jamaa apigwe ban ya saa 2 zinamtosha eti utakula makande siku ya eid el fitr! Kajinga wewe unataka mwenzio anyimwe??!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…