Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

Pia yaweza kuwa mbinu ya kufanya watu wasisikilize sera za Lissu ambaye amesema wao utumia sana whatsapp kualika watu kwa mikutano yao ya kampeni.
Katika mazingira kama haya watu hawaangalii gharama

Jr[emoji769]
 
Halotel ilikuwa vizuri mwanzo saizi ni mwendo wa kuchumagila tu kwa sasa ndio mtandao hafifu kuliko yote kwa upande wa Internet japo ma MB mengi

Bora halotel wapunguze tu maana haina umuhimu kuwa na MB nyingi
ambazo hazina faida

Unaunganisha kifurushi cha mwezi
cha 10gb ila mpaka mwezi unaisha zimetumika 500MB
sasa hii si hasara jamani [emoji17][emoji17]
This is not true. Mb 500 kwa siku 30? Mbona kwangu halotel haina mfanowe ni mwendo wa kuserereka tu
 

Attachments

  • Screenshot_20200910-105549.png
    Screenshot_20200910-105549.png
    31.2 KB · Views: 8
Kwa mtazamo wangu karibu mitandao yote ya simu kwa kipindi hichi garama za vifurushi zaidi upande wa data au internet wamepandisha sana kwa kweli. Wanao pona kidogo wale wanao tumia wifi maofisini ila kwa kutumia mitandao hali sio nzuri. kama pia una chunguza vizuri vifurushi vya mwezi yani muda wa maongezi umegawanywa kuna mchana na usiku sasa najiuliza mbona kama tuna rudishana enzi za kale, kifurushi na nunua ili kufanya maongezi kutwa kwa ajili ya kushughuli za kiofisi, mnavyo kigawa kingine kianze saa nne usiku sio ungwana kabisa, muda huo, huwa tuna kazi zingine huko vyumbani sio kuongea na simu hayo mambo niya watoto wa secondary na wana vyuo tafadhali.
 
Karibu halotel mkuu....5000 unapata gb 7 kwa week kwa line ya chuo lakini.
Mkuu hicho kipo kwa kila mtu isipokuwa lazima ununue kwa njia ya halopesa.
 
Kwa Vodacom Ma-bundle mazuri kwa sasa yapo kwenye option ya Jimwage Data ambayo ni mpya. Ukitaka kulipata hili bundle piga *149*01# halafu chagua Nunua Bando(mpya), halafu chagua Jimwage Data. Hapo unapata Bundles za dakika na MB nyingi kwa bei nafuu kidogo.
 
Back
Top Bottom