Vodacom mmepunguza MB na kuongeza gharama

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,818
106,000
Hivi nyie Vodacom naona mmepunguza MB na mmeongeza gharama au kampuni zote za mitandao zimepunguza MB? Mmeamua kufinya MB. Mbona mnakandamiza hivi?

vodacom

Ova
View attachment 1564834
Screenshot_20200910-073531.jpg
 
Halotel
Buku GB1 siku 7
Buku 5 GB 7 siku 7
Buku 3 GB 3 siku 7
*150*88#

KUPANGA NI KUCHAGUA
Halotel ndio mtandao wenye gharama nafuu zaidi kwa upande wa vifurushi vya data. ila siku hizi speed yako imekuwa changamoto sana tofauti na mwanzoni wakati wanaanza anza. Voda ni ghali lakini upande wa speed ya internet wako vizuri sana hata ukiwa vijijini.
 
Ndio unabonyeza *149*03#ok kisha unachagua namba 2 internet nfo inakuletea hivo hiyo namba moja nfo unapata mb hizo.
Ila ni mb tupu hupati sijui msg wala muda wa maongezi
Kwangu haipo hiko kifurushi. Nikienda kwenye namba 2 nakuta vifurushi vya ovyo tu. ila nikiingia kwenye UNI offer kuna kifurushi cha 1,500/= gb 1 na dakika kwa siku 7
Screenshot_2020-09-10-08-39-11-497_com.android.phone.jpg
Screenshot_2020-09-10-08-44-36-698_com.android.phone.jpg
 
Back
Top Bottom