Vodacom : MB 1 ...?? Aisee sina budi kuwatoroka.

RobyMi

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
848
Reaction score
863
Vodacom this is too much , Jaman mtandao gan una nafuu ..?

Nimeshindwa kuvumilia

MB 1 hata picha hudownload ..

MB 1 hata page ya site yenu wenyewe hai load ikaisha

MB 1 si inaisha hata Google haijakuletea majibu .?

Naomba kuwatorokai .. Ni mtandao gani una nafuu .?
 
Kote majanga tu
 
Tigo na Airtel ni vip kwani .?

Nilikuwa tigo nimehamia voda angalau tigo ndio washenzi kabisa yani kifurushi chako kinaisha saa 6 usiku hamna cha after 24 hrs ni shigidi
 
Ndugu hujafanya mabadiliko yoyote , Voda pia mwisho saa sita usiku
 
Ununue viwili cha airtime chenye mb 1 na cha data chenye mb 180/24hrs. Hiyo ndivyo tunavyoishi. Ls sivyo hama nchi hakuna unafuu hapa.
 
Back
Top Bottom