Ni sheeeda cheap is expensive,wanarudisha hela zao pale ulipopewa huduma bure.
Yaani siku hizi kila nikiweka hela lazima mnikate bila sababu wakati sijajiunga na huduma zenu uchuro za kutuibia pesa, hiyo haijaniuma sana.
Kilichoniuma zaidi, mmeanza kumkata mama yangu mzazi wakati hizo huduma hawezi kuzitumia kabisa, yeye ni kupiga kupokea na kutuma msg tu.
Cha ajabu sasa hivi akiweka jero tu, mnalitafuna lote hali inayomfanya akiweka aunge kifurushi cha hela yote wakati huo huo utafikiri hiyo vocha ameiiba.
Sasa nawaambia hivi, kutokana na ugumu ninaopata katika kupata hizo pesa, nawapa masaa 8 kutoka sasa muwe mmeshamaliza hilo tatizo ikiwa ni pamoja kurudisha hela mlioiba bila taarifa.
Namba yake ipo PM kwako.
Tutaheshimiana tu.
Vodacom Tanzania
Vodacom hili tatizo mnalifahanu mnafanya wizi was mchana sasa tunatangaza kuwahama rasmi coda siyo baba wala mama,tuwahame kwa bidii zoteLoh..mwenyewe nimeweka kajero, sijakaa vizuri imekatwa imebaki 471...nikaweka jero lingine nikajiunga kifurushi cha jero...baadae naangalia wamekula hadi zile chenji zangu, yani wamekomba zoote wameniachia 0..
Ukija upande wa tigo nao ni wale wale tu aisee, hawa jamaa ni wehu sana
Vodacom hili tatizo mnalifahanu mnafanya wizi was mchana sasa tunatangaza kuwahama rasmi coda siyo baba wala mama,tuwahame kwa bidii zote
Ni tatizo. Nimesafiri kwenda mahali nikawa nimeweka kakifurushi ka-Airtel OMG mwezi mzima. Nimefika huko Airtel iko slow mbaya. Sina la kufanya imebidi niendelee na Vodacom. Ushindani kwenye hili soko si perfect.Ukija upande wa tigo nao ni wale wale tu aisee, hawa jamaa ni wehu sana
Ni tatizo. Nimesafiri kwenda mahali nikawa nimeweka kakifurushi ka-Airtel OMG mwezi mzima. Nimefika huko Airtel iko slow mbaya. Sina la kufanya imebidi niendelee na Vodacom. Ushindani kwenye hili soko si perfect.
Loh..mwenyewe nimeweka kajero, sijakaa vizuri imekatwa imebaki 471...nikaweka jero lingine nikajiunga kifurushi cha jero...baadae naangalia wamekula hadi zile chenji zangu, yani wamekomba zoote wameniachia 0..