Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Impossible Future Tense.
Hawa jamaa kwa sasa hawapo vema. Nadhani kuna tatizo katika hii kampuni.
Watu tunaotumia 4G version cellphone tunapeta tu..
kaka si habari za kusadikika 4g inakuja na nokia solution network ndio wamepewa hio tenda.
sasa hivi mitambo ya voda wameiupgrade na inatumia single RAN. ina maana wanahitaji tu software upgrade kutupa lte.
na kama unatumia voda kuanzia mwez wa 10 mwaka huu utakua shahidi kuwa speed imeongezeka maradufu.
unaweza angalia hapa kwa info zaidi
Vodacom Tanzania deploys NSN Single RAN gear to improve voice, data nationwide
Mi mwenyewe sijui niliwakosea nini,yaani hii namba 15544 inaniudhi sanaYan hawa wanazid tu kuniudhi
mimi na namba yao hii 15544
.
.
Hi wana voda!
Vodacom dsm network imekata. Kuna nini tena? yaani no mawasiliano at all! Au ni ule muendelezo wao wa kubug kwenye vifurushi maana nyie ni kama moto wa vifuu!
mmmh ndio wapi hapo mkuu nataka krismasi hiii nije kupata moja mbiliThere is a countrywide Vodacom network outage since 09h32. CDN team are trying to work on service restoration, All service has been affected inclusive NetAct & SWA.
Ndo message ya vodacom hiyo wametutumia hapa ofisini kwetu kibanda cha kuuza vocha karibu na matakomatako bar
tunajaribu kurudisha port iliyokuwa blocked kwenye pd...lol
Mi mwenyewe sijui niliwakosea nini,yaani hii namba 15544 inaniudhi sana