Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,210
- 40,652
Mkuu kesho ngoja namm nirudi tu home TTCL,Vodacom Tanzania wanatukosea adabuNipo Nyumbani(TTCL) mkuu naunga juhudi mkono, 2GB kwa 2000/= kwa wiki.
Vodacom nitaendelea nao kwenye M-Pesa tu
Mkuu kesho ngoja namm nirudi tu home TTCL,Vodacom Tanzania wanatukosea adabuNipo Nyumbani(TTCL) mkuu naunga juhudi mkono, 2GB kwa 2000/= kwa wiki.
Vodacom nitaendelea nao kwenye M-Pesa tu
Karibu sana mkuu.Mkuu kesho ngoja namm nirudi tu home TTCL,Vodacom Tanzania wanatukosea adabu
Ngoja namm nikaongezee kumwagia chumvi kwenye kidondaKaribu sana mkuu.
Nimewatolea uvivu kule Twitter na nitaendelea kuwatolea maana huko ndio wanajibu comment zetu
Speed yake unaionaje mkuu.Nipo Nyumbani(TTCL) mkuu naunga juhudi mkono, 2GB kwa 2000/= kwa wiki.
Vodacom nitaendelea nao kwenye M-Pesa tu
Tangu wanipe gb 1.2 kwa 3000,nimerudi halotelKifurushi changu kinaisha leo cha 3000/= kwa 2GB, ila sasa wameshusha hadi 1.2GB kwa 3000/=
Nipo hapa nyumbani(TTCL) ni kitendo cha kufungua mlango na kuanza kuunga juhudi mdogo mdogo.
Vodacom Tanzania endeleani na kiburi chenu
Hiyo ttcl ukitoka km kadhaa kutoka mnara ulipo hakuna huduma nzuriVodacom Tanzania tunawahama mmmezidii aisee tunahamia zetu TTCL
Hao halotel gb 1 wiki nzima plus dakika 100 na sms 2000 kwa wiki unanunua kupitia halopesa.... Ukiweka vocha ya kawaida hupati hiko kifurushi1500
1gb + 500mb wiki au sijui iko chako hebu nijuze unajiungaje
Maana wamepandisha na wao
Mimi kama mtandao hauvutii natupa line. Hata huwa sijiulizi mara mbilimbili.Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Ahhahahaha hahahaUNATUMIAJE VODA HADI LEOOO... NI USUKUMA AU??
Hiyo ttcl ukitoka km kadhaa kutoka mnara ulipo hakuna huduma nzuri

Inabdi niulize tu maana sasa Voda hawazingui ilaa hawa wapuuzi wanaotumia voda hadi leo huku wanalalamika ndo wanakera maana wamekuwa wengi balaa...!! Voda tumia kwa mpesa tu labdaaaAhhahahaha hahaha
Nyie ni wanachuo??Vodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Nyie ni wanachuo??