nurdidy
Member
- Jan 1, 2014
- 42
- 44
Ina helaCard yako ina walau 1$ ? kama haina weka pesa kisha jaribu tena.
Ina helaCard yako ina walau 1$ ? kama haina weka pesa kisha jaribu tena.
Imetiki?
Piga *148*30#Mkuu majanga kumbe ni cha chuo? Sasa naibadili vipi hii lain kuwa huko nimeweka vocha si imegoma
Yes mkuu apo ndo mahala panguHao halotel gb 1 wiki nzima plus dakika 100 na sms 2000 kwa wiki unanunua kupitia halopesa.... Ukiweka vocha ya kawaida hupati hiko kifurushi
Piga menu ya halopesa nenda kwenye Mega bando
Hongereni wenye kipato cha juuVodacom is more of a corporate telecom network, hivyo haipendelei sana wateja wa kipato cha chini. Labda kwa airtel, tigo na halotel. Binafsi nachagua kutumia TTCL na Vodacom
Bado sijafikia kipato cha juu mkuu, nafanya tu majaribio ya corporate lifeHongereni wenye kipato cha juu
Hameni , ila tafuteni kwanza simu maalumu kwa ajili ya kuhama, au shati kama lile la mzee wetu analotumiagaVodacom kama mnausoma huu uzi inabidi mrudishe vifurushi vya uni offer,wateja wenu wanalalamika,muda si mrefu mtakosa watumiaji maana tunahamia mitandao mingine
RUDISHENI VIFURUSHI VYA UNI OFFER
Voda nao wamerudisha kama zamani?HII MITANDAO YA KIJAMII KIBOKO WAMESIKIA MALALAMIKO WAMESHARUDISHA KAMA ZAMANI
Mwifwa MI NIKO NA BACK UP LINE TTCL NAENJOY VODA WAKIZINGUA... GB ZANGU 5 KWA TSH 5000 KWA MWEZI CHA KUFIA NINI?
Kweli aisee, kuwachimba beat kumesaidia.Tiyr mkuu ishard
wamesalimu amri...ila ile ya 500 hamnaVoda nao wamerudisha kama zamani?
wamesalimu amri...ila ile ya 500 hamna
Vodacom hatariView attachment 1167956