hivi vitu vinapatikana pande zipi maana zilizopo maduka mengi ni zile nyeusi na nyeupe ambazo nyingi ni makapi tuMKUU JARIBU KUMOVE TOKA PANDE MOJA KWENDA NYINGINE LAZIMA UTAPATA NCHA ITAKAYOKUPA SPEED YA UKWELI, IKIWEZEKANA HAMIA CHUMBA KINGINE AU NUNUA MALE TO FEMALE USB EXTENSION NA UITUMIE KAMA ANTENNA YAKO THEN TULETEE MSHINDO NYUMA(FEEDBACK)
siku hizi naona tigo si haba, kwa jero tu unaunga siku nzima afu kwa mimi nimeona minimum spidi ni kama hii hapo chini, haishuki zaidi ya hapo
MBONA YA KONO KONO HIYO..?
WENZIO WANAKAMATA 7000-8000 kbps weye edge ya 250 kbps alafu hata bars za 3G mchemsho hapo teh teh teeh
siku hizi naona tigo si haba, kwa jero tu unaunga siku nzima afu kwa mimi nimeona minimum spidi ni kama hii hapo chini, haishuki zaidi ya hapo
View attachment 96236
Pole sana,vodacom tulikuwa na tatizo la internet ambalo limeshatatuliwa japo haijawa stable,hilo tatizo lilikuwa la siku ya jana na leo,lakini kama tangu ununue bundle internet ipo slow naomba unitumie number yako ASAP ili tushughulikie tatizo lako. #VodacomPowerToYou #Ahsante 🙂
Duh..... umenena vyema, alafu mdogo wangu Mr. madevu kuna nyingine ya kuficha Masaburi inaitwa Tunnel Guru
labda unipe trial ya wiki nzima,trial ya siku moja haiwezi tosha kuonyesha uimara ,wiki nzima ikiwa stable ndio nitaelewa,we vp tena sema inakushinda tumia ....watu hii ndo ponea yetuna siku zote matatizo ya kimtandao ni tatizo la kawaida sana jaribu kwangu nakupa trial ya siku nZima
Mimi VODA sitoki nawafagiloa.huyo mleta mada nafikiri anaishi sehemu ambayo si Rafiki na mtandao wa voda.
Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
labda unipe trial ya wiki nzima,trial ya siku moja haiwezi tosha kuonyesha uimara ,wiki nzima ikiwa stable ndio nitaelewa,
huko posta ndio kupo ovyo kinoma interms of network. hakuna minara mingi. antenna zimetegeshwa juu ya majumba. ukiingia ndani ya majumba hiyo network ya simu tu utata. hadi utoke nje ndio uelewane na unayempigia simu.umechangia kwa kukurupuka hujasoma uzi wote, kuna anayeish posta, naye anasema voda inazingua sasa sijui wewe unaish makao makuu ya vodakom??
acheni kutapeli watu na kula 10,000/= za watu hayo madudu mnayoyasema na yenyewe ni kerrooo tupu, kuna wakati inakata then unaisubiria hadi unakoma! rahis aghali
msidanganye watu hapa, niliingia mkenge mkanila buku10 yangu siriduiii tena!! people kuweni makini na hawa watu!!!