kama ulivyofahamishwa kuna mambo mengi yanaathiri speed na stability...... pia unatakiwa uipatie na uijuulie mistari yake.... hebu angalia huu mwendo , umemaliza speedometer yote......hiyo ya Paje nayo si ya uhakika, kuna wakati inakata kabisaaa, hadi tena uanze kuisubiria!! rahis aghali,
ni aina fulani ya kuficha uso. I mean your personal identity while you are on the internet such as your computer's IP address, hii huwa inabadilika kabisa, kwa mfano utaonekana upo marekani kumbe upo kisarawe mkoa wa pwani....Pd proxy ndio kitu gani ndugu,naomba nifahamishe si unajua sio wote ni taalamu wa net.
Duh..... umenena vyema, alafu mdogo wangu Mr. madevu kuna nyingine ya kuficha Masaburi inaitwa Tunnel Guruni aina fulani ya kuficha uso. I mean your personal identity while you are on the internet such as your computer's IP address, hii huwa inabadilika kabisa, kwa mfano utaonekana upo marekani kumbe upo kisarawe mkoa wa pwani....
Nadhani wakati umefika sasa kuwahamasisha watu wetu tuachane na VODACOM, Mie nimeliwa juzi pia elfu 30 yangu nina kazi za research inabidi kudownload mambo mengi nakwambia ni kero tupu, nilikuwa na mpango wa kuwatokea kesho ofisini kwao makao makuu nikalalamike!
Kwa nini wasiwe public kwa wateja wao kama kuna shida tuambiwe? Hawa jamaa shareholders wao ndo wale wale tunaowasema kila siku nadhani ni kuhamasisha wananchi nchi ili kususia huduma za hawa jamaa,
Asante kwa sharing yako keep it up!!!!!!!!!!!!!!
Pd proxy ndio kitu gani ndugu,naomba nifahamishe si unajua sio wote ni taalamu wa net.
Nyie mtakuwa mnaishi maeneo ambayo siyo rafiki na Voda.
Kwa mtazamo wangu voda sasa haina mpinzani maana ipo stable, speed ya ukweli na promo za kufa mtu.
Kuna watu wanaitwa mabundi humu shauri ya kukesha na voda yaani kwa tsh 200 tu unashusha zaidi ya 10 gb kwa usiku mmoja so tatizo la kiufundi lililojitokeza leo ni jambo la kawaida tu haliwezi kuwa sababu ya kukoroma ki hivyo.
Ok, asante kwa ufafanuzi, ila ningependa kujua tena kuhusu hio TUNNEL GURU, inaweza kunirahishia kuongeza speed ya internet kwa mimi ninaetumia modem
Aisee unazunngumza umu uwe fact kwenye arguements zako, mimi nipo huku posta mpya huku lkn net ni tatizo inasoma sometime 0, sasa hayo maeneo rafiki waa voda ni yapi? acha propaganda, they must come up with solutions!
tunnel guru ...pd proxy ni hatare kwa speed.
wambie mkuu waache wachomoe sijui hizo 30 na hamna wanachokipata
PM mtu sasa hapo ni just buku 10000 tu unadownload kwa speed unazoziona
ni aina fulani ya kuficha uso. I mean your personal identity while you are on the internet such as your computer's IP address, hii huwa inabadilika kabisa, kwa mfano utaonekana upo marekani kumbe upo kisarawe mkoa wa pwani....
Aisee unazunngumza umu uwe fact kwenye arguements zako, mimi nipo huku posta mpya huku lkn net ni tatizo inasoma sometime 0, sasa hayo maeneo rafiki waa voda ni yapi? acha propaganda, they must come up with solutions!
Dah... pole sana kamanda !!!!
Wenzio wanakula maisha kilaini kama vip i ingia tigo maana voda haipo friendly huko kwenu
Mbona mimi wa kariakoo Maeneo ya Benjamin Mkapa nawapata vizuri tu.jombaa amesema yupo POSTA lakini net ya VODA inasumbua, kwahiyo hata posta VODACOM haipo friendly?? Kweli kuna watu mumezoea kuropoka, na hapa si jukwaa la kusema ovyo.
Mh....!!!!Mbona mimi wa kariakoo Maeneo ya Benjamin Mkapa nawapata vizuri tu.
Isije mkawa mmeset edge kwenye vinyafuzi vyenu, ebu mjaribu kuset dashboard zenu kuwa CDMA ONLY then muelekeze antenna Kisarawe au Makongo juu
Kwa muda mrefu nilikuwa natumia zantel internet na ukweli haijawahi kuniangusha sana, huwa naweka cha 20,000/=
kuna kipindi nikaweka kile cha voda cha 20,000/= , spidi ni nzuri ila kuna wakati inakata hadi kero. nikarudi tu zantel nikaendelea kutumia kifurushi cha 20,000/= spidi nzuri na haikati kati kama voda inavyokata.
sasa wiki iliyopita nikaona ngoja niweke kifurushi cha voda kile cha 30,000/= ambacho ni unlimited , lakini toka nikiweke nimejuuuta, net inakata hata kwa dk 10, au kuna muda ninastuck kwenye authentication mpaka nirudierudie kukoneckt!!
nasema sitaweka tena kifurushi cha internet cha voda !
acheni kutapeli watu na kula 10,000/= za watu hayo madudu mnayoyasema na yenyewe ni kerrooo tupu, kuna wakati inakata then unaisubiria hadi unakoma! rahis aghali
msidanganye watu hapa, niliingia mkenge mkanila buku10 yangu siriduiii tena!! people kuweni makini na hawa watu!!!
Hasiyejua maana haambiwi maana so ungemuacha tu aendelee kutanga tangawe vp tena sema inakushinda tumia ....watu hii ndo ponea yetu
na siku zote matatizo ya kimtandao ni tatizo la kawaida sana jaribu kwangu nakupa trial ya siku nZima