Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

Kawaida kwenye issue kama iyo pesa huwekwa kwenye recycle bin (temporary) baada ya muda usipofatilia hubadirika na kua pesa halali ya kampuni, kuna taratibu muhimu za kufwata na unabidi kua na ushahidi na pesa yako itarejeshwa vizuri tuu, ishawahi kutokea kwa rafiki yangu na alikuja pewa pesa yake ila usipotuliza akili ukatumia hasira upati kitu.
 
Habari IPO namna hii,

Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba..

Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati huo akauntu ilikuwa na sh.30000..

Cha kushangaza Mara baada ya mke kufuta usajili na nikasajili kwa kitambulisho changu ile 30000 wakaifyeka, nikawapigia wakasema niende voda shop iliyo karibu yangu niwaeleze watanipa fomu nijaze nikafika walichonijibu wanasema nihesabu nimepoteza hiyo hela na nikiitaka basi niende mkoani kampuni ya voda naomba chonde chonde rudishen pesa hiyo haraka kabla sijawaburuza mahakamani
Ila nawewe tumia akili, unadai vipi pesa ambayo hukuiweka wewe? Ilitakiwa mke akwangue pesa yote kabla ya kufuta usajili, maana hiyo oesa inaonekana ni yake, na yeye ndiye anapaswa kuidai, ambapo ataulizwa, alifuataje usajili wakati kuna pesa?
 
vItu vingine muwe mna uliza kwanza?
Ufute usajili wa awali kukiwa na pesa kisha ufanye usajili mpya wa vitambulisho vingine utegemee kuwepo kwa hizo pesa? Mzee ulitumia Masaburi kifikiri nenda voda shop na mkeo mkiwa na vithibitisho vya umiliki wa awali wa ile line mtasaidika !!!
 
Wewe.mwizi huwezi chukua pesa ya mkeo Vodafone hawatambui mkeo laini ya simu kila mtu yake.Nenda kashtaki popote mjinga wew
Huj
Ila nawewe tumia akili, unadai vipi pesa ambayo hukuiweka wewe? Ilitakiwa mke akwangue pesa yote kabla ya kufuta usajili, maana hiyo oesa inaonekana ni yake, na yeye ndiye anapaswa kuidai, ambapo ataulizwa, alifuataje usajili wakati kuna pesa?
Hujaelewa basi tulia,.ningedai vipi hela ambayo sijaiweka?..
 
Umenunua gari kwa mtu ina bima, umebadili kadi afu unadai bima ya aliyekuuzia itumike.
 
Hawa voda na wenzao wizi sana. Na moja ya njia yao ni kukuzungusha mpaka uchoke.
Kama una muda na gharama wapeleke mahakamani na dai pesa za usumbufu na gharama za kesi
 
Back
Top Bottom