wizi mpya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msigazi Mkulu

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya kivuko cha Kigongo Busisi risiti haziskaniwi, inascaniwa moja kwa wateja wote.

    Kama kawaida kila nikipita pale kivukoni huwa naangalia mapungufu, nilianza na la chenji ya mia mia kutorudishwa. Na leo nimebaini abiria wakinunua tiketi pale dirishani pale sehemu ya kuscania inawekwa nyuma ya tiketi nyingine huku ikitunzwa vizuri bila kuharibiwa. Hii inamaanisha zinarudishwa...
  2. Mr Why

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Umeibuka wizi mpya wa gesi za kupikia, baadhi ya wauzaji gesi wanatumia gesi za wateja baada ya hapo wanafunika na kuwauzia pungufu

    Umeibuka wizi mpya wa gesi za majumbani za kupikia, baadhi ya wafanyabiashara waovu wanatumia gesi za wateja na baadaye wanafunika na kuuza Changamoto hii imetokea leo baada ya kununua gesi ya Kg 8.4 nikatilia mashaka na kuipima zikapatikana Kg 6.6Kg nilipotizana seal nikagundua ilifunguliwa na...
  3. monakule

    JamiiForums Tanzania Wizi Mpya kwenye mabasi ya Geita

    Wahusika naomba wafanyie kazi hii, Kuna basi zinazopeleka abiria vijijini kutoka Geita hasa hii inayojulikn Bibi family, inafanya safari Geita Nyehunge kupitia Nzera Kuna mtindo wa abiria kulipishwa mizigo alionao bila utaratibi Wizi uko hivi, abiria anapanda na mzigo na analipa nauli yake...
  4. Mowwo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizi mpya umeibuka jiji la Makonda Arusha ukihusisha jeshi la polisi. Mamlaka naomba zichukue hatua

    Wakuu, umeibuka wizi ambao ningependa kuwasilisha ili mamlaka husika ichukue hatua stahiki na kulinda heshima ya Jeshi la Polisi. Jana, tarehe 4/2/2025, majira ya saa 1 jioni, majirani zangu wawili walikuwa maeneo ya Njiro, Kata ya Lemara, mtaa wa Korongoni wakitembea kuelekea barabara ya East...
  5. mfate42

    JamiiForums Tanzania Vodacom, huu ni wizi mpya mlioubuni? Nirudishieni 30000 yangu M-PESA

    Habari IPO namna hii, Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba.. Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
  6. T Kaiza-Boshe

    JamiiForums Tanzania JIHADHARI NA WIZI WA AJABU MPYA WA SIMU, HASA SIMU JANJA (CELLPHONE)

    Wengine wanauita utapeli, kwa maana simu utaitoa wewe mwenyewe, na inandoka ukiiona. Iko hivi, anakuja mtu unayemjua vizuri, na wakati mwingine humjui, anakuomba simu unampa; na anaweza kuchukua na ya mwingine, na ya mwingine. Nyote mtampa simu zenu! Manaweza kuuliza kwa nini, au ya nini, huyo...
Back
Top Bottom