Vodacom huduma Kwa wateja mna uhuni mwingi.

Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
21,498
37,791
Leo itakuwa mara ya mwisho kutumia mtandao wenu. Najua mna wateja wengi lakini Mimi Acha nipungue. Jana nimetuma 210,000 ili zimsadie mgonjwa kulipa bill lakini hazikufika na kwangu sikupata msg. Nimepiga simu huduma Kwa wateja naambiwa fedha itarudishwa kwangu ndani ya masaa 48. Kuna haja gani ya kuwa na watu wa huduma Kwa wateja àmbao tatizo wameligundua na hawawezi kulitatua mpaka baada ya siku? Hii dharura niliyokuwa nawahi itaendelea kusubiri?
 
Back
Top Bottom