hawa samaki ni wapuuzi.
yaani jinsi unavyozidi kuwa mteja mtiifu kwa kuwachangia mia mia zako,ndio nao wanakufanya ng'ombe wa maziwa.
mimi ya kwako tu kwa siku ilikuwa gb 1 na dakika sms kibao nikawa naridhika safi tu,he
ghafla naamka siku moja mwezi uliopita nakuta wameporomosha mpaka 500mb,nikawadharau kabisa.
kabla sijawapa taraka nikawakopa kabisa,huku nasonya.
UPDATE:
hatimaye tigo nao wameamua kuunga mkono huu utapeli.