TTCL wananiboa kitu kimoja...ukiwa na MB huwezi nunua kifurushi kingine kabla hujamaliza MB ulizonazo,ukijiloga tu eti ununue mb 500 mara mbili ili upate 1GB imekula kwako. (hela wanachukua na kifurushi hupati unabaki na mb 500 zako)
Jamaa wana mambo ya hovyo sana voda,siyo bando ti,leo nmetuma hela kutoka mpesa kwenda benk nmekatwa hela nyingi utafikiri wananikomoa,mi na voda kwa heli ya kuonana sitaki hata kuiskia *****