diwani tajiri
Senior Member
- Oct 14, 2017
- 161
- 794
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tigo nao wameanza upumbavu.Sijui wamewaza nini. Narudi zangu Tigo na mimi. Kwanza wanavyoiba sasa. Hizo MB 500 utatumia whatsapp tu ila masaa 8 hayaishi eti umemaliza.
Kumbafu zao
Looh. Sijui tukimbilie wapi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tigo nao wameanza upumbavu.
inaonekana wanalala kitanda kimoja,nao wameshusha,kutoka GB moja mpaka mb 500.
naona ni kumpisha TTCL naye apige penati ili apate goli.Looh. Sijui tukimbilie wapi sasa
msaada tafadhali, smile ndo nini?
Naenda zangu Halotel yaan 1000 napata GB1 Sms 500 na dakika 50 siku 7
TTCL sina imani nao sana n wao.
Niliendaga Tarime mjini kabisa ikawa inasoma R
Na wao wakianza kupatikaba sehemu nyingi wataanza kuleta ubabaifuHawa wana bando nzur tatzo mtandao n shda maeneo yaliyo mengi.
Na wao wakianza kupatikaba sehemu nyingi wataanza kuleta ubabaifu
TTCL sina imani nao sana n wao.
Niliendaga Tarime mjini kabisa ikawa inasoma R
Ndio maana huduma zao rahisihuko mbali hapa tu dar tena maeneo karibu na city centre kitu kinasoma R aisee ni aibu na waache kugongea minara ya watoto wao kama tigo na airtel.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Navunja laini zote za voda kesho...
Yani buku mb 50??
Aisee hapana