VodaCom hapa A town kero tupu!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
11,348
3,219
Tangu majira ya saa nne ya asubuhi hp A town mawasiliano kwa wenye kutumia mtandao tajwa ni kero tupu.

Je? Ni mimi mwenyewe tu ama tuko wengi!

Huu mtandao umenibo sana leo!
 
Tangu majira ya saa nne ya asubuhi hp A town mawasiliano kwa wenye kutumia mtandao tajwa ni kero tupu.

Je? Ni mimi mwenyewe tu ama tuko wengi!

Huu mtandao umenibo sana leo!

Hapa singida ni cku ya nane sasa,nashindwa kuwaelewa hata taarifa kwa wateja hawatoi!dawa yao ni kuwapiga chini fasta,nawapa muda kidogo nitaharibu line yangu ya voda.
 
Tangu majira ya saa nne ya asubuhi hp A town mawasiliano kwa wenye kutumia mtandao tajwa ni kero tupu.

Je? Ni mimi mwenyewe tu ama tuko wengi!

Huu mtandao umenibo sana leo!

Labda hujatumia Voda cku nyingi, manake hili tatizo sio la wiki iliyopita bali muda mrefu sana, kinacho udhi zaidi ni jinsi mitambo yao inavoweza kututuia wateja NEWS ambazo hatuzihitaji, tunakuwa na kazi ku delete sms tu ambazo zni RUBISH. mi mda mwingi ni Airtel
 
Imenibidi leo nikanunue lain mbadala ya Airtel kwani Vodacom kwa kweli ni mzigo sasa kwa wateja wao!

Sijui hili hawalitambui!

Labda hujatumia Voda cku nyingi, manake hili tatizo sio la wiki iliyopita bali muda mrefu sana, kinacho udhi zaidi ni jinsi mitambo yao inavoweza kututuia wateja NEWS ambazo hatuzihitaji, tunakuwa na kazi ku delete sms tu ambazo zni RUBISH. mi mda mwingi ni Airtel
 
Nimefika hapa kwenye M-pesa nikajaribu kutoa chochote nilichokuwa nayo na hbr nilizozipata ni kwmb tangu asubuhi network inasumbua mbaya mbovu!

Huo ndio mtandao wa VodaCom Tanzania

Uchaguzi wa mitandao inahitajika!
 
Back
Top Bottom