Vodacom gharama za vifurushi vya internet kuwa mwiba kwa watumiaji

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Imekuwa sasa kila mwezi kwa vodacom kupandisha cost za vifurush vyao.

Leo nimeshangaa kuona gharama kuongezeka mara dufu.

1000Tsh ilikuwa 400MB
2000Tsh ilikuwa 2500GB
2500Tsh illikuwa 1.2GB

Kweli hali hi inaendana na uchumi wa kati?

Tushauriane ni wapi kuna vifurush nafuu vya internet.

Screenshot_20200915-060652_Phone~2.jpg
 
Karibu halotel we mlalamikaji uliepotea njia ukakutana na makomamanga yakakukomoa na kukufilisi!
 
TSH 3000 napata mb 3,7200 ni kama Gb 3 na point kuna kipindi nilihamia Halotel. Lakin bando lao halina speed kabisa

Niseme tu kama unafanya kazi inayohitaji internet yenye speed basi huwezi kuwakimbia hawa vodacom
 
Gb 1 wameikimbiza mpaka nkashangaa
Kulikuwepo na kifurushi cha wiki cha 2500 mitandao yote jana nakuja kujiunga nakuta et dk 70 nazo zinatumika kuanzia saa nne uck mpaka saa kumi na moja nkajiuliza nimekuwa mwanafunzi mie voda mnakela
 
Tigo 1500 unapata GB 1 kwa wiki na dk 150 all networks.
Tigo wananiudhi vifurushi vyao huwa havidumu unaweza kujiunga mala tano ya sita unaweka vocha kifurushi kishaondolewa,nilikuwa na line zao mbili nikazitupa zote
 
Tigo wananiudhi vifurushi vyao huwa havidumu unaweza kujiunga mala tano ya sita unaweka vocha kifurushi kishaondolewa,nilikuwa na line zao mbili nikazitupa zote
Vinadumu unabidi utumie laini ya chuo ili ubajeti pesa mkuu.
 
Back
Top Bottom