Angalia juu kwenye kona kushoto utaona mahali pameandikwa 'Skip Ad' Bofya hapo. endelea.wakuu mbona nikibofya hiyo link sipati maujanja, inafungua mambo tofauti kabisa
alternative way
1.tuma bomba30 kwenda 15300
3.utapoke text umepata 2gb free bila malipo
zinatumika kwa siku ngapi
mwezi.30days.ila wahi ukichelewa watashitukia utashindwa kujiunga
nini kitatokea utakapokuja kuweka hela kwenye hiyo line?
Mkuuu you are bigger than network ni mpango mzima. Vip mbona kwangu speed kidogo ipo low wakati inatakiwa iwe high
Vipi kwa simu yafaa au ni moderm tu