Daaah mm mambo ya modem nshapga chn, nlinunua modem ya voda ikawa mizinguo nikaamua kui unlock ili nitumie mitandao yote na nika I update pia tatzo packlage za mitandao yetu zko limited so nkaona nipge chn. Mm sasa hivi natumia airtel najiunga mb 400 nazitumia kwenye cm kwa wiki 2 na usiku uwa natumia ile huduma yao ya mb za bure kuanzia saa 5 usiku kwa ajili ya kudwnload series. Kila siku uwa na dwnload series episodes 4 kwa simu katika format ya AVI ambayo episode moja inakuwa na mb 59 so nazihamishia kwenye comp toka kwenye simu na convert zinakuwa katika formal ya mpeg na watch kwa raha. Kwa kweli mm nshazoea net via simu na naienjoy kuliko ya comp hata nikitaka movie nasubiri usiku hizo mb 200 za bure ndizo na dwnloadia mvie kwenye simu in format ya avi inakuwa na mb ka 120 naihamishia kwa laptop naiconvert nawatch ka kawa. Mb 400 nazojiunga uwa nazitumia during the day kuchat fb, kusurf kuingia jamii forums n.k so I spend 2500 kwa wk 2 for internet jamana modem znachosha aisee