Voda nao wamekuwa matapeli kama wengine

Voda nao wamekuwa matapeli kama wengine

uwe hodari

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2022
Posts
4,041
Reaction score
8,644
Mtandao wa Vodacom upande wa internet wameanza uhuni kama mitandao mingine

Vodacom huduma ya internet GB moja haimalizi masaa 24 kwa matumizi ya kawaida tu

Hii tabia walikuwa nayo halotel

Mb 490 matumizi ya kawaida humalizi masaa mawili

Vodacom acheni uhuni wananchi tunahali mbaya kiuchumi
 
Ebwana leo mpaka nimeamua kuhamia tigo.jana usiku nimeunga ofa maalum gb 1.

Leo asubh naambiw salio lako liko chin ya mb 221.ikabid nirudi settings kuna setting zozote zinakula jibu hapana
Kumbe sio peke yangu
 
Voda ni wezi wana kamari yao inaitwa chekecha huwa wananikata salio mara kwa mara kwa huduma hiyo ambayo sijawahi kujiunga kwa sasa huwa naweka pesa mpesa tu sijazi vocha
 
Back
Top Bottom